Acha chuki na TL.tangu Lowasa hajaja chadema Lissu alishakuwepo kwenye medani ya siasa na alishakuwa maarufu.Eti na wewe unajifanya kuongea na kumkashifu Lowasa chadema, bila ya watu wa Lowasa wewe ni kidampa tu hata waliokupigainia ukawa Kiongozi wa tls ni Team Lowasa, hivyo waongee wengine lkn siyo wewe, Lowasa kakutoa mbali, bila Team Lowasa, you are no body, ...
Barbarosa unahangaika na Lisu sana. Mtaji wa Lisu ni ujasiri, msimamo na uwezo wa kipekee wa kujenga hoja. Hicho kichwa chake ni cha pekee Tanzania ukubali usikubali
"Nigga please" .... nimechekajeEti na wewe unajifanya kuongea na kumkashifu Lowasa chadema, bila ya watu wa Lowasa wewe ni kidampa tu hata waliokupigainia ukawa Kiongozi wa tls ni Team Lowasa, hivyo waongee wengine lkn siyo wewe, Lowasa kakutoa mbali, bila Team Lowasa, you are no body, kwanza siajabu haujaweka hata Shilingi chadema unamkashifu mtu aliyeingiza mabilioni?
Hapo ulipo nina mashaka hata kama Ada ya Uanachama chadema huwa unalipia, sasa unamkashifu mtu ambaye kaweka kitu chadema na hachukui wewe chadema unachukuwa tu, unalipwa Mshahara na chadema, hiyo ni Hela ya Lowasa halafu unaleta kibesi? Nigga please!
Hivi ni nani aliipigia kura chadema shauri ya Tundu Lisu? Siajabu hata jimboni kwako ulikoshinda kwa taabu Team Lowasa aliweka hela yake ili upite, mchango wa Lowasa kwa chadema hauna mfano kaongeza Wabunge, Halmashauri hata Jiji la Dar ni watu wa Lowasa ndiyo waliolipeleka chadema wewe umeifanyia nini chadema zaidi ya nuksi tu na kuiharibia jina?
Hongera "mwingereza" kwa "kiingilishi" .... Kaushauri kadogo sijui utakapokea ..... Badiri neno "choosen" na lisomeke "chosen" .... nitarudi baadae ...Wewe acha kunananifa ferari na bajaji mzee.... lisu ni lisu nenda mara ukaone wema alowatendea watu... kuna watu wanalia kuhusu lisu mzee wewe unaleta ulumumba yule mtu kama ni kocha ni the special one + the choosen one + tactic master + game changer
Yawezekana unamawazo mazuri sana. Labda rudia kuandika post nyingine.... kwa kifupi hueleweki unamaanisha nini... umepost RUBISH.........Eti na wewe unajifanya kuongea na kumkashifu Lowasa chadema, bila ya watu wa Lowasa wewe ni kidampa tu hata waliokupigainia ukawa Kiongozi wa tls ni Team Lowasa, hivyo waongee wengine lkn siyo wewe, Lowasa kakutoa mbali, bila Team Lowasa, you are no body, kwanza siajabu haujaweka hata Shilingi chadema unamkashifu mtu aliyeingiza mabilioni?
Hapo ulipo nina mashaka hata kama Ada ya Uanachama chadema huwa unalipia, sasa unamkashifu mtu ambaye kaweka kitu chadema na hachukui wewe chadema unachukuwa tu, unalipwa Mshahara na chadema, hiyo ni Hela ya Lowasa halafu unaleta kibesi? Nigga please!
Hivi ni nani aliipigia kura chadema shauri ya Tundu Lisu? Siajabu hata jimboni kwako ulikoshinda kwa taabu Team Lowasa aliweka hela yake ili upite, mchango wa Lowasa kwa chadema hauna mfano kaongeza Wabunge, Halmashauri hata Jiji la Dar ni watu wa Lowasa ndiyo waliolipeleka chadema wewe umeifanyia nini chadema zaidi ya nuksi tu na kuiharibia jina?
Lowassa angekuwa hana lolote CHADEMA .... Lissu na viongozi wengine wa CHADEMA wakiwemo wabunge machachali kama J. Mnyika, H. Mdee, G. Lema, Mch. Msigwa bila kumsahau Mny/kiti A. Mbowe wangemtosa alipojiunga CHADEMA tokana na walivyokuwa wakimtukana na wakimuita FISADI ... na kamwe wasingempa nafasi ya kuipeperusha bendera ya UKAWA ... na CHADEMA ikiwa miongoni mwa huo umoja ....naona ni chuki tu zidi ya lissu lakini lowasa ana lolote kwa lissu
Barbarosa umeongea pumba tupu.Eti na wewe unajifanya kuongea na kumkashifu Lowasa chadema, bila ya watu wa Lowasa wewe ni kidampa tu hata waliokupigainia ukawa Kiongozi wa tls ni Team Lowasa, hivyo waongee wengine lkn siyo wewe, Lowasa kakutoa mbali, bila Team Lowasa, you are no body, kwanza siajabu haujaweka hata Shilingi chadema unamkashifu mtu aliyeingiza mabilioni?