Habari wana Jamvi
Kwa mujibu wa taarifa niliyoipokea sasahivi kupitia Radio ya M/ kiti wa ccm Mwanza,Bwana Diallo kuwa,katika jimbo la Singida Mashariki uongozi wa ccm umemuagiza Mkuu wa wilaya,CAG na idara zinazohusika,wafanye ukaguzi katika mahesabu wa mfuko wa jimbo jinsi ulivyotumika.
Hali hii imekuja baada ya Uongozi wa ccm ngazi ya Mkoa na Wilaya katika ziara yao kufanya ziara jimboni humo kukagua utekelezaji wa ilani ya ccm.wamegundua kuna miradi hewa ambayo imetumia fedha zaidi ya milioni 400.
My take
Hivi mfuko wa jimbo ,mwenye mamlaka ya kuchukua fedha benki kuzipangia matumizi,na kuzitumia ni Mbunge?
Je,mfuko huo unaelekeza fedha hizo zitumike kwenye miradi gani?
Hivi halmashauri hiyo,wakati ripoti ya CAG ya 2013/2014, ikiwasilishwa kwa Spika na kamati ya PAC,taarifa ya Jimbo la Singida Mashariki hakuwemo?
Kila Halmashauri ina mchumi wake,je kwenye kikao cha Madiwani vipaumbele vyao havigusi mfuko wa Jimbo.Wadau hebu tupime kauli ya Katibu wa ccm wa Singida!
Ukweli utawaweka huru jibu hoja wacheni kuwa vioja holo jimbo nikati yamajimbo yanayofanya vema sana kwenye nchi hii sasa mnataka kuleta vioja jibuni hoja
Hoja gani ambayo wewe unataka ijibiwe hapa? Wewe umeripoti kuwa Lissu anawindwa sasa kwenye maelezo mbona hakuna sehemu yoyote inayoonyesha kuwa huyo mbunge wako anawindwa....! Hayo mahesabu ya mfuko wa jimbo yakaguliwe ili tujue which is which, acha kutatarika wewe kama mkalingo sufuriani.
Kujua na kutaja madhambi ya wengine hakukufanyi wewe mtakatifu. . . . .!!!!
Mbona kichwa cha habari na utumbo wa habari ni vitu tofauti?
"Kwa mujibu wa taarifa niliyoipokea sasahivi kupitia Radio ya M/ kiti wa ccm Mwanza,Bwana Diallo kuwa,katika jimbo la Singida Mashariki uongozi wa ccm umemuagiza Mkuu wa wilaya,CAG na idara zinazohusika,wafanye ukaguzi katika mahesabu wa mfuko wa jimbo jinsi ulivyotumika."
Sojaona nukuu ya mbunge kutafutwa hapo. Kulikoni? au ndiyo kiwanda kazini?
Soma vizuri wewe dogo,katibu wako kautangazia Umma kuwa anamashaka na matumizi ya mfuko wa jimbo,kwa nini mfuko wa jimbo tu?
Halmashauri zina mafungu mengi ya fedha,kuna Elimu, Tasaf,Afya,barabara,nk kwa nini hakuisema hii?
Usitapetape kauli ya kutoa boriti kwenye jicho lako,hakunifanyi niache kuonya uzembe huu soma hapa" Ole wao wawekao amri zisizo za haki,na waandishi waandikao maneno ya ushupavu"
Ole wao wasemao kwamba uovu ni wema,na kwamba wema ni uovu ,watiao giza badala ya nuru,na nuru badala ya giza,watiao uchungu badala ya utamu,na utamu badala ya uchungu" Isaya 5;20,10:
Hata maandiko matakatifu yanawaonya,siasachafu hata Mungu hapendi Mwisho wao umefika!
Kuwa na mashaka na mfuko wa jimbo ndiyo "Tundu Lissu anawindwa"?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ha ha ha aaaaa kuna maneno nikiyaona naweza sema historia ya mtu utotoni. . . . born again pagan unaujua mkalingo. . . . . umenichekesha sana
Kwani kukaguliwa ni siasa chafu????!!!
Mbona kichwa cha habari na utumbo wa habari ni vitu tofauti?
"Kwa mujibu wa taarifa niliyoipokea sasahivi kupitia Radio ya M/ kiti wa ccm Mwanza,Bwana Diallo kuwa,katika jimbo la Singida Mashariki uongozi wa ccm umemuagiza Mkuu wa wilaya,CAG na idara zinazohusika,wafanye ukaguzi katika mahesabu wa mfuko wa jimbo jinsi ulivyotumika."
Sojaona nukuu ya mbunge kutafutwa hapo. Kulikoni? au ndiyo kiwanda kazini?
Jibu hoja