Tundu Lissu atoa shilingi

Tundu Lissu atoa shilingi

Mwezi mchanga huyo usipoteze muda.
 
Sina tatizo na hoja yako lakini naomba jaribu kuwa considerate kwa maana ya kujua kuwa rais ni amiri jeshi mkuu na pili polisi si watumishi wa umma na pili polisi wanatumia sheria zenu mbovu mlizoweka wabunge kupitia bunge lenu. Kama una hoja ni vizuri peleka hoja kwanza ya kufuta sheria.
 
Ni kweli usiopingika kuwa Ma DC na Ma RC wanakandamiza demokrasia kwa kutumia mapolisi. Hili ni wazi kabisa
Hoja ya Lisu ina mshiko.
 
MaCCM wanmtetea Nchimbi, ila ki ukweli polisi wanatumika kisiasa, ndio maana wanaccm wanamtetea, nimefurahi aliposema Nchimbi kajiita Dr kabla ya kupata PhD.
 
Samwel Sitta atofautiana na CCM wenzake bungeni kuhusu Polisi kutumika na wanasiasa. Amesema hoja hiyo haipaswi kupingwa ila kupewa muda wa kutosha kujadiliwa kama hoja binafsi.
 
Hoja imewekwa vizuri ije kama binafsi! Mbivu na mbichi zitajulikana
 
Sijui kama atakaimu tena hiyo nafasi. Na mimi nimemsikia
 
Nimemkubali SITTA jinsi alivyohusika na hoja ya Lisu, Nchimbi alikuwa antoa majibu rahisi mno has ukizingatia ukubwa wa hoja ya Lisu
 
"Waziri uliyejiita Doctor kabla hajawa na PhD hana moral authority ya kuchallenge jeshi la polisi"

Ikumbukwe Nchimbi alikua na kashfa ya kujipa phd wakati elimu yake ikiwa ni shahada ya pili tu.
 
bahati mbaya lisu anajiona yeye ndio amesoma sheria kuliko watu wote duniani shame on you
 
Bunge hili linanichosha Sana wanakandamiza demokrasia waziwazi bora wabaki peke Yao wafurahi na kura yangu 2015 zitameza kura hamsini za wanaonizunguka kuhakikisha wabana demokrasia hawaingii bungeni
 
Kwa kweli Samweli Sitta ni mzalendo wa kweli.kamshauri Tundu Lissu apeleke hoja binafsi bungeni kwenye mkutano ujao wa bunge kuhusu jeshi la police kutumiwa na viongozi wa ccm.Lisu kakubali na nampongeza sana mzee SITTA.
 
sasa ulitegemea nchimbi atajibu nini zaidi ya kuteteana.
 
Watake wasitake watakubali tu, hali halisi inajidhihirisha kwamba wanasiasa wanalitumia jeshi la polisi tena waziwazi kabisa, ukipingana na reality ujue iko siku utasutwa na aibu itakupata. Sitta hataki kusutwa!
 
Binafsi namheshimu sana lissu, ni mzalendo na analipenda taifa lake, hongereni wananchi wa singida kwa kutuletea mbunge mzalendo kuliko hata mwigulu!
 
magamba wanaonea sana; ee Mungu uwape haki kila muonevu wa aliye cccccccccm; tenda muujiza wako kaBLA 2014
 
mia namuunga mkono MSALITI WA CCJ.
 
Tumeshuhudia viongozi wa juu kabisa wa upinzani kama mbowe anakamatwa na polisi na kulala mahabusu na kuna makada wa kawaida tu wa CCM hata watuhumiwe vipi hata hawaguswi kabisa. Tena usishangae hivyo vyombo vya dola vikawatetea kabisa. Huo ndio utumikaji wenyewe. Mifano iko mingi.
 
Back
Top Bottom