jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,989
- 22,521
Ok then,toa mwongozo wa namna ya kujadili mbali zaidi ya CDM na CCM.Je unapenda mafisadi washinde?Kwanza ni lazima ujue mimi sijawahi kuichukia CDM wala sina pango wa kufanya hivyo mbele, ila kama ukiniuliza kama kuna watu nawachukia huko CDM nitakujibu NDIYO. Pili mimi ninapenda tujadili suala hili mbali zaidi ya CDM na CCM a hata kama unadhani ni vyema kulichambua suala hili kiCCM na CDM kwani huji kuwa CCM ina UMMA wake? Hujui wapo waliopewa fursa ya kuichagua CDM na CCM wakaichagua CCM? Hao walioichagua CCM ndio watakaosimama na CCM. Kwa bahati mbaya haitakuwa hivyo kama nilivyokuambia awali hayatakuwa mapambano ya uCCM na uCDM. Usije kuingizwa kenye mapambano usoyajua jaribu kuangalia uliposimama