"Tundulisu ashtakiwa na wapigakura wa kata ya ikungi kwa aliyekuwa mlezi wa mkoa wa singida ambaye kwa sasa ni mkuu wa mkoa wa pwani mh Mwatumu Mahiza.kisa tangu achaguliwe hajatimiza ahadi hata moja kazi yake kubeba mafail" Angel Akilimal mtangazaji wa redio ya magamba (uhuru)- status yake ya leo hiyo kenye fb page yake.
Naona magamba sasa wameamua kuwashambulia wabunge wa CDM ambapo ndani ya mwaka mmoja wameanza kuwanyooshea vidole wakati wao nadani ya miaka 50 ya uhuru wameifilisi nchi kwa ufisadi na utawala mbovu wenye kuwagawa watz kwa makundi ya aliyo nacho na asiye nacho.
Mbunge gani wa upinzani alie weza kutekeleza ahadi zake? Hawa ni domo tu, Lissu yuko busy kwenye maandamano hana muda na jimbo lake.Bila kujali kwamba Lissua ameshtakiwa kwa nani. Swali la kujiuliza ni kwamba amelipa deni la ahadi zake (maana ahadi ni deni)?
Unadhani huku JF wamejazana watoto?????Mbunge gani wa upinzani alie weza kutekeleza ahadi zake? Hawa ni domo tu, Lissu yuko busy kwenye maandamano hana muda na jimbo lake.
Mbunge gani wa upinzani alie weza kutekeleza ahadi zake? Hawa ni domo tu, Lissu yuko busy kwenye maandamano hana muda na jimbo lake.
Kweli watanzania tunayo kazi kubwa ya kuwatoa ujinga watu kama nyie.Una haki ya kuandika upuuzi wako huo kwa kuwa wewe ndo umeshikilia bajeti. lakini kwa vyovyote vile lazima 2015 upumzishwe.
you have already planted roots of your own destruction.
hakuna chenu 2015
Wamshitaki tu, hii ndio tabia ya wabunge njaa, maneno mengi lakini hakuna wanalo lifanya. Labda huyu ndio atakuwa mfano.Ni sawa kumshtaki lakini sio kwa huyo walikomshtaki,
Kabla ya kumshtaki wangeangalia kwanza profile yake ya kutimiza ahadi zake na muda uliosalia kumaliza hizo ahadi.
Nchi hii kama usipobeba mafaili ya ku-review sheria ili sheria ikulinde wabunge wote wa CDM wangalikuwa jela.
ushauri wangu kwa wananchi hao ni kumkumbusha ahadi zake alizotoa mbunge wao kabla ya kumshtaki ili wapewe ratiba ya jinsi gani na lini atatimiza ahadi zake kwao.
JK hukumbushwa ahadi zake kila uchao,
anazidi kuahidi au kukili kuwa imemshinda au kuikana au kuipotezea hizo ahadi alizotoa,
huyu ndiye wa kumshtaki kwa wananchi wake.
Bila kujali kwamba Lissua ameshtakiwa kwa nani. Swali la kujiuliza ni kwamba amelipa deni la ahadi zake (maana ahadi ni deni)?
Nani ameweza kutekeleza aliyo ahidi? tupe jina kijanaUnadhani huku JF wamejazana watoto?????
Mbunge gani wa upinzani alie weza kutekeleza ahadi zake? Hawa ni domo tu, Lissu yuko busy kwenye maandamano hana muda na jimbo lake.
kama kawaida yenu, semeni mlichofanya nyie.Nadhani tungeanza na zile za Kikwete!!!!
Nani ameweza kutekeleza aliyo ahidi? tupe jina kijana
Regia naona umerudi tena.
Mkuu bora wewe unayepata muda kumwaga uharo hapa JF...unatekeleza ilani ya Chama cha magamba kueneza propaganda zake...
"Tundulisu ashtakiwa na wapigakura wa kata ya ikungi kwa aliyekuwa mlezi wa mkoa wa singida ambaye kwa sasa ni mkuu wa mkoa wa pwani mh Mwatumu Mahiza.kisa tangu achaguliwe hajatimiza ahadi hata moja kazi yake kubeba mafail" Angel Akilimal mtangazaji wa redio ya magamba (uhuru)- status yake ya leo hiyo kenye fb page yake.
Naona magamba sasa wameamua kuwashambulia wabunge wa CDM ambapo ndani ya mwaka mmoja wameanza kuwanyooshea vidole wakati wao nadani ya miaka 50 ya uhuru wameifilisi nchi kwa ufisadi na utawala mbovu wenye kuwagawa watz kwa makundi ya aliyo nacho na asiye nacho.
kama kawaida yenu, semeni mlichofanya nyie.
Kweli watanzania tunayo kazi kubwa ya kuwatoa ujinga watu kama nyie.
Regia naona umerudi tena.