Na wewe umetumia mb zako ku commentHuyu mtu anatibiwa au ameamua kuzurura kujitafutia kiki ya dunia?busara ingekuwa amalize tiba yake, arudi nyumbani watu wampe pole zake, asaidie pia polisi kutoa ushahidi wake, halafu ajipange sasa rasmi na Chama chake na wampe agenda ya kuzungumza akiwa huko. Huo ungekuwa in utratibu mzuri kuliko anvyo Fanya sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
The main purpose of the app ni michango.
wangeshafanya hivyo muda sana
Numbered registered? Ili muwafatilie na kuwaua ki hali na Mali? Kweli mumiani in hatari sana mawazo yake kukomesha na kuumiza tuu!Why not using mobile phone numbers registered with his details specifically for financial contribution? How many people would be willing to chip in but dont have access to smartphones? Are they ready to marginalize them?
then najua kuna mtu anaweza kulianzisha hilo kwa urahis
ishu ni kwamba kila mtu anasakizia mwenzie afanye....vitendo 0% ila u keyboard warrior 100%Watafanya sasa kama walisahau au kama wakati wake ulikuwa haujafika.
Kungekuwa kuna anaeweza kulianzisha kwa urahisi zaidi kuliko yeye kulianzisha lingesha anzishwa.
Wewe umeliona, wewe umelitolea wazo, WEWE anzisha!
Learn to take initiative, unasemaje anataka “collabo” wakati hajasema tuanzishe, kasema “anzisheni”!
“Ikiwezekana anzisheni,” unataka nani aanzishe, Maxence Melo wa JF au Halima Mdee na Mchungaji Msigwa wa CHADEMA ?
Hawako Marekani hao tuliozoea wanalianzisha in behalf of everybody else all the time, nyinyi ndio mko huko karibu nae na karibu na ma exposure ya teknohama, ongeeni nae. Be responsible for once.
Kwa hiyo functions za hiyo app ni nini? Au maalum kwa michango?
Hii kali.