Tundu Lissu anafaa kwa Kuwapandisha CHADEMA Midadi ila uongozi hawezi

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
9,654
15,983
Nimemfuatilia sana na aina ya siasa zake kwakweli kuwa kiongozi hafai. Anachoweza ni kuwapandisha midadi ya kisiasa wafuasi wa CHADEMA kwa ile style yake ya kuongea kiswahili cha kinyaturu na kubishana na polisi basii.

Kama hamtaki endeleeni kumuamini huyo mropokaji wenu hawezi kitu.
 
Nimemfuatilia sana na aina ya siasa zake kwakweli kuwa kiongozi hafai. Anachoweza ni kuwapandisha midadi ya kisiasa wafuasi wa chadema kwa ile style yake ya kuongea kiswahili cha kinyaturu na kubishana na polisi basii.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
sa100 ameanza kukata pumzi kashafeli mapema ampishe jamaa
 
Nimemfuatilia sana na aina ya siasa zake kwakweli kuwa kiongozi hafai. Anachoweza ni kuwapandisha midadi ya kisiasa wafuasi wa chadema kwa ile style yake ya kuongea kiswahili cha kinyaturu na kubishana na polisi basii.

Kama hamtaki endeleeni kumuamini huyo mropokaji wenu hawezi kitu.
Huna akili
 
Na ccm wanafaa kuwa na chawa maana ndio wanaongoza chama
 
Back
Top Bottom