Ohio..!ππ Baki na ubishi wako Sasa.!Huna mamlaka hayo Bali mtazamo finyu! Itoshe tu kukuambia kuwa ikulu Haina mwenye kuimiliki kwa maana ya chama chochote kinaweza kuitumia Kama wananchi wakiamua! Na ccm Haina hati miliki ya kukaa ikulu daima dawamu! Usijidanganye na speculation zako ambazo huna uhakika nazo!
Sio suala la ubishi Bali facts dogo! Vyama vingi vya zamani katika nchi nyingi vimebaki kuwa historia kwa wajukuu na vitukuu kuvisoma huko mashuleni kwa maana ya kuwa vilishakufa! Na hili halikutokea kwa bahati mbaya Bali nguvu ya umma ilivisukuma kaburini!Ohio..!ππ Baki na ubishi wako Sasa.!
Najua hakuna kitu kisichokuwa na mwisho, najua ipo siku CCM itaanguka Kama vilivyo kufa vyama vingne kongwe, Ila sio kwa CHADEMA hii inayoendeshwa na wachaga.Utasubiri SanaππSio suala la ubishi Bali facts dogo! Vyama vingi vya zamani katika nchi nyingi vimebaki kuwa historia kwa wajukuu na vitukuu kuvisoma huko mashuleni kwa maana ya kuwa vilishakufa! Na hili halikutokea kwa bahati mbaya Bali nguvu ya umma ilivisukuma kaburini!
Fanya kautafiti kadogo tu kuhusu uelekeo wa ccm utajua kinakwenda kufa kifo kibaya mno kwa jinsi kinavyoendeshwa Kama kampuni ya mtu mmoja!
Ulitaka cdm iongozwe na wasukuma? Hiyo mentality ya nepotism uliyoijaza ubongoni itakupasua kichwa! Change my friend before changes change you!Najua hakuna kitu kisichokuwa na mwisho, najua ipo siku CCM itaanguka Kama vilivyo kufa vyama vingne kongwe, Ila sio kwa CHADEMA hii inayoendeshwa na wachaga.Utasubiri Sanaππ
Kwa nini Magufuli wataje wakati mpigwa risasi mwenyewe hataki kuwataja? Si alisema anawafahamu? Awataje na awe na ushahidi wa kupotosha.Hilo swali la Lissu ni gumu sana, haliwezi kujibiwa kamwe, ndio maana siku hizi jamaa yetu anaonekana mpole sana, anajua wakati huu wa kampeni mengi sana yatasemwa, hasa yale asiyopenda kuyasikia, namshauri awe mvumilivu sana.
Usiwe ya wasukuma Wala ya wachaga iwe ya wote Kama ilivyo CCM.Halafu hiyo Hali haiitwi nepotism, tunaita tribalism.Chadema ndiyo Chama pekee chenye kiwango kikubwa Cha tribalism hapa TZ. Jaribu kuangalia hata idadi ya wagombea waliopitishwa na CDM, wengi Ni watu kutoka Kanda ya kasikazini.Ulitaka cdm iongozwe na wasukuma? Hiyo mentality ya nepotism uliyoijaza ubongoni itakupasua kichwa! Change my friend before changes change you!
Magu akijibu hayo maswali mi naenda kunya TBC live SAA sita na nusu mchana.
Naunga mkono hoja mimi nitakuwa wa piliHili swali JPM akilijibu kwa ufasaha mimi nachukua kadi ya CCM kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe!!
wa hiyo TBC ndio wanaoweza kujibu maswali haya? Hivi ni kiungo gani unachotumia kufikiriaTBC simuliwafukuza wenyewe, na utube nao wameminywa? Nyie vipi?
Ila anaweza akajenga uwanja wa ndege Chato wa mabilioni ya pesa za walipa kodi bila kuidhinishwa na bunge kwa kuwa pesa hizo siyo keki ya nchi? Huo ni ukibaraka wa wapi? Wa was ujumla? PatheticRais wako hana urafiki na wanaokula keki ya taifa pasipo wazalendo kupewa kipaumbele. Ukishakuwa kibaraka wa wakoloni tegemea siku moja kujutia maamuzi yako.
Sasa si mngeanza kusaidia kujibu haya maswali nyie matagaWe waache wajichanganye tu.
Hata nikianza kujibu,wewe na nyumbu wenzako hamtaelewa.Sitaki kupoteza muda wangu kubishana na nyumbu.Sasa si mngeanza kusaidia kujibu haya maswali nyie mataga
Unai ushahidi kwamba pesa hazikuidhinishwa na bunge au unarudia ulichokisikia kama afanyavyo kasuku?Ila anaweza akajenga uwanja wa ndege Chato wa mabilioni ya pesa za walipa kodi bila kuidhinishwa na bunge kwa kuwa pesa hizo siyo keki ya nchi? Huo ni ukibaraka wa wapi? Wa was ujumla? Pathetic
Ungejua kuwa uwanja wa Chato ni alternative kwa Hub ya Mwanza inayotarajiwa kuanza kutumika hivi karibuni usingekuja na hoja za kuokota kwa marafiki zako.Ila anaweza akajenga uwanja wa ndege Chato wa mabilioni ya pesa za walipa kodi bila kuidhinishwa na bunge kwa kuwa pesa hizo siyo keki ya nchi? Huo ni ukibaraka wa wapi? Wa was ujumla? Pathetic
Kwa wendawazimu huo hata babu kijana chakubanga hawezi kusema mbele za wenye akili, yaani you are too low, unatosha kuzungumza na bibi yako kijijini upuuzi huoUngejua kuwa uwanja wa Chato ni alternative kwa Hub ya Mwanza inayotarajiwa kuanza kutumika hivi karibuni usingekuja na hoja za kuokota kwa marafiki zako.
Unazidi kuonyesha ukosefu wa akili, bunge lipi lililopitishwa? Inaelekea kiungo unachotumia kufikiria kina walakiniUnai ushahidi kwamba pesa hazikuidhinishwa na bunge au unarudia ulichokisikia kama afanyavyo kasuku?
Anapungukiwa na watu wenye hekima na kubakia na mazuzuKwani wewe ukichukua kadi ya CCM au usipochukua unadhani CCM au Magufuli anapungukiwa na nini?
Upeo ukiwa mdogo unadhania Unajua kila kitu kumbe wewe ndio too low.Kwa wendawazimu huo hata babu kijana chakubanga hawezi kusema mbele za wenye akili, yaani you are too low, unatosha kuzungumza na bibi yako kijijini upuuzi huo