Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,675
- 26,992
Ohio..!😂😂 Baki na ubishi wako Sasa.!Huna mamlaka hayo Bali mtazamo finyu! Itoshe tu kukuambia kuwa ikulu Haina mwenye kuimiliki kwa maana ya chama chochote kinaweza kuitumia Kama wananchi wakiamua! Na ccm Haina hati miliki ya kukaa ikulu daima dawamu! Usijidanganye na speculation zako ambazo huna uhakika nazo!