Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Magufuli: Kama kweli anampenda aseme wakina nani walimpiga risasi, na kwanini alimnyima pesa ya matibabu

Mac Alpho

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
5,133
2,000
Huna mamlaka hayo Bali mtazamo finyu! Itoshe tu kukuambia kuwa ikulu Haina mwenye kuimiliki kwa maana ya chama chochote kinaweza kuitumia Kama wananchi wakiamua! Na ccm Haina hati miliki ya kukaa ikulu daima dawamu! Usijidanganye na speculation zako ambazo huna uhakika nazo!
Ohio..!😂😂 Baki na ubishi wako Sasa.!
 
Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
7,142
2,000
Ohio..!😂😂 Baki na ubishi wako Sasa.!
Sio suala la ubishi Bali facts dogo! Vyama vingi vya zamani katika nchi nyingi vimebaki kuwa historia kwa wajukuu na vitukuu kuvisoma huko mashuleni kwa maana ya kuwa vilishakufa! Na hili halikutokea kwa bahati mbaya Bali nguvu ya umma ilivisukuma kaburini!
Fanya kautafiti kadogo tu kuhusu uelekeo wa ccm utajua kinakwenda kufa kifo kibaya mno kwa jinsi kinavyoendeshwa Kama kampuni ya mtu mmoja!
 
Najua hakuna kitu kisichokuwa na mwisho, najua ipo siku CCM itaanguka Kama vilivyo kufa vyama vingne kongwe, Ila sio kwa CHADEMA hii inayoendeshwa na wachaga.Utasubiri Sana😂😂
 
Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
7,142
2,000
Najua hakuna kitu kisichokuwa na mwisho, najua ipo siku CCM itaanguka Kama vilivyo kufa vyama vingne kongwe, Ila sio kwa CHADEMA hii inayoendeshwa na wachaga.Utasubiri Sana😂😂
Ulitaka cdm iongozwe na wasukuma? Hiyo mentality ya nepotism uliyoijaza ubongoni itakupasua kichwa! Change my friend before changes change you!
 
Mmeme

JF-Expert Member
Nov 25, 2017
458
500
Hilo swali la Lissu ni gumu sana, haliwezi kujibiwa kamwe, ndio maana siku hizi jamaa yetu anaonekana mpole sana, anajua wakati huu wa kampeni mengi sana yatasemwa, hasa yale asiyopenda kuyasikia, namshauri awe mvumilivu sana.
Kwa nini Magufuli wataje wakati mpigwa risasi mwenyewe hataki kuwataja? Si alisema anawafahamu? Awataje na awe na ushahidi wa kupotosha.
 
Mac Alpho

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
5,133
2,000
Ulitaka cdm iongozwe na wasukuma? Hiyo mentality ya nepotism uliyoijaza ubongoni itakupasua kichwa! Change my friend before changes change you!
Usiwe ya wasukuma Wala ya wachaga iwe ya wote Kama ilivyo CCM.Halafu hiyo Hali haiitwi nepotism, tunaita tribalism.Chadema ndiyo Chama pekee chenye kiwango kikubwa Cha tribalism hapa TZ. Jaribu kuangalia hata idadi ya wagombea waliopitishwa na CDM, wengi Ni watu kutoka Kanda ya kasikazini.
Generally CDM, ni mradi wa watu fulani.
 
cencer09

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
2,890
2,000
Rais wako hana urafiki na wanaokula keki ya taifa pasipo wazalendo kupewa kipaumbele. Ukishakuwa kibaraka wa wakoloni tegemea siku moja kujutia maamuzi yako.
Ila anaweza akajenga uwanja wa ndege Chato wa mabilioni ya pesa za walipa kodi bila kuidhinishwa na bunge kwa kuwa pesa hizo siyo keki ya nchi? Huo ni ukibaraka wa wapi? Wa was ujumla? Pathetic
 
Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
15,739
2,000
Ila anaweza akajenga uwanja wa ndege Chato wa mabilioni ya pesa za walipa kodi bila kuidhinishwa na bunge kwa kuwa pesa hizo siyo keki ya nchi? Huo ni ukibaraka wa wapi? Wa was ujumla? Pathetic
Unai ushahidi kwamba pesa hazikuidhinishwa na bunge au unarudia ulichokisikia kama afanyavyo kasuku?
 
Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
15,739
2,000
Ila anaweza akajenga uwanja wa ndege Chato wa mabilioni ya pesa za walipa kodi bila kuidhinishwa na bunge kwa kuwa pesa hizo siyo keki ya nchi? Huo ni ukibaraka wa wapi? Wa was ujumla? Pathetic
Ungejua kuwa uwanja wa Chato ni alternative kwa Hub ya Mwanza inayotarajiwa kuanza kutumika hivi karibuni usingekuja na hoja za kuokota kwa marafiki zako.
 
cencer09

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
2,890
2,000
Ungejua kuwa uwanja wa Chato ni alternative kwa Hub ya Mwanza inayotarajiwa kuanza kutumika hivi karibuni usingekuja na hoja za kuokota kwa marafiki zako.
Kwa wendawazimu huo hata babu kijana chakubanga hawezi kusema mbele za wenye akili, yaani you are too low, unatosha kuzungumza na bibi yako kijijini upuuzi huo
 
Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
15,739
2,000
Kwa wendawazimu huo hata babu kijana chakubanga hawezi kusema mbele za wenye akili, yaani you are too low, unatosha kuzungumza na bibi yako kijijini upuuzi huo
Upeo ukiwa mdogo unadhania Unajua kila kitu kumbe wewe ndio too low.

Ninayoyaongea leo utakuja kuyasikia na kuyaelewa siku si nyingi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom