RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,620
- 3,936
Nimemsikiliza mara nyingi bwana Tundu Lissu kwa sasa hana hoja amebaki anatukana mtu ambaye tayari hatunaye, suala la bandari huenda ilikuwa kiini macho cha kuhadaa umma!
Huyu bwana apuuzwe hajulikani yupo kwenye kundi gani yupo kama popo! Tundu Lissu tunakuuliza suala la bandari ajenda imekufa? au JPM aliiba dola kama unavyohadaa umma
Kijana wetu nimegundua ni mhuni hafai kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Unawezaje kusema aliyefariki alikutwa na dolar kwake tena Rais wa nchi anamaanisha walifanya upekuzi na kama walifanya upekuzi
Je, walikuwa wanatafta hizo hela siamini Marais kama wanapekuliwa huo ni uongo ambao ni wa kupuuza na pia Tundu Lissu nimeamini kuna kitu anatafuta akamatwe aanze kuwataarifa jamaa zake wale.
Vijana amkeni huyo anafanya political enterpreneur hamna kitu hapo hana anachosimamia