Tundu Lissu akiwa Mahakamani: Jamani huko Uraiani kukoje?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Taifa, Antiphas Mughwai Lissu Mahakamani leo Julai 11, 2025.

==

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Ijumaa Julai 11, 2025 ambapo Mahakama kuu inatarajia kutoa uamuzi wa maombi yake.

Lissu amefungua shauri la maombi mahakamani hapo akipinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu kuahirisha usikilizwaji wa kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni, ulioyotolewa Juni 2,2025.

Uamuzi huo unatarajiwa kutolewa na Jaji Elizabeth Mkwizu anayesikiliza shauri hilo, baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili yaani mawakili wa Serikali na mawakili wa Lissu.

Ukianzisha kitu kaa chini ujue mwisho ukoje maana ukiwa unaanza kitu kama kupigania hewa mwisho wake mmbaya.
Ndio huu watanzania wako wapi wazungu wako wapi nani wapi yuko wapi
Unaenda jela mwenyewe unalia mwenyewe unapauka mwenyewe .

Fanya lile ambalo watu wanafanya kaa kimya .

Jifunzee kukaa kimyaa ni suluhu tosha
 
Basi nyerere na wenzake wangekaa tu bila kupigania uhuru🚮
 
Maisha hayapo hivi
 
Hata akina Nyerere walikaa kimya uhuru ukaletwa kwenye sahani. Kama wewe ni muoga kaa kimya mwenyewe.
 
Basi nyerere na wenzake wangekaa tu bila kupigania uhuru🚮
Tundu lissu hapiganii uhuru wamtu anaupigania uhuru wa tumbo lake na baadhi ya timu yake .

Hata magufuli alimpigania nani kama sio watoto wake tena aliwatengenezea njia za mafanikio wewe kaa tu ukizani kuna mtu kazaliwa kisa wewe watu wanajipigania wao wenyewe
 
Back
Top Bottom