Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa bungeni Dodoma

Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu amekamatwa na Polisi muda huu wa saa 12.00 siku ya jumatatu tarehe 06.02.2017 akiwa anatoka Bungeni huko Dodoma. Haijajulikana hasa sababu za kukamatwa Kwake.
Chanzo. Mkuregenzi wa Itifaki na Mawasiliano ,Uenezi na Mambo ya nje Chadema John Mrema.
 
Tutajua tu atakapofikishwa kesho saa 2 asubuhi. Kama ni darisalama sio kwa sababu ni muuza ngada bali mropokaji wa maneno tu. Hiyo, haina dhamana ni danadana hadi miezi 3. Kama hakuaga Spika aweza zushiwa utoro bungeni vikao zaidi ya 3.
 
Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu amekamatwa na Polisi muda huu wa saa 12.00 siku ya jumatatu tarehe 06.02.2017 akiwa anatoka Bungeni huko Dodoma. Haijajulikana hasa sababu za kukamatwa Kwake.
Chanzo. Mkuregenzi wa Itifaki na Mawasiliano ,Uenezi na Mambo ya nje Chadema John Mrema.
Hii ni kampeni ya kuiuwa CHADEMA. Njia pekee iliyopo ni kupambana. Kuweni na Plan B na C.
 
Back
Top Bottom