Asante kwa tusi lako! Mimi sijasoma lakini nina busara kuliko wewe. Pia nina imani naijua computer zaidi yako. Nimezoea majibu yenu CDM naona na wewe unafaa kuimba mipasho. Jiandae kugombea ubunge ukaongeze mipasho bungeni
CDM = Chama Daima Mipasho
Hii hotuba ya Lissu imejaa mitego, sina hakika kama CCM wataiona na kuepuka kujibu kichwa kichwa. Tusubiri.
Mna rafu gani safari hii?Ikifika 2015 mtasema kifo chenu 2020 watanzania hawadanganyiki na CHAMA DAIMA MIPASHO a.k.a
hiki ni chama kipya? kina usajili wa kudumu au wa muda? fungukaAsante kwa tusi lako! Mimi sijasoma lakini nina busara kuliko wewe. Pia nina imani naijua computer zaidi yako. Nimezoea majibu yenu CDM naona na wewe unafaa kuimba mipasho. Jiandae kugombea ubunge ukaongeze mipasho bungeni
CDM = Chama Daima Mipasho
Namsikia, jamaa ni jembe ni sahihi Kikwete amuogope
Jamaa huwa anaongea english bungeni'sijui kule iramba wote wanajua english!!!!
Ananukuu matukio mengi sana hasa rushwa za uchaguzi, Uteuzi wa wakuu wa wilaya na Mikoa ambao woote ni wabunge wa viti maalumu. Lissu anahoji kwa mujibu wa katiba tuliyonayo saa mkuu wa wilaya au mkuu wa Mkoa ni wa mtumishi wa serikali ambayo inapaswa kujibu hoja za wabunge waliopo bungeni, (ieleweke kuwa Bunge ni mhimili tofauti na ule wa serikali) sasa je wabunge waha wa kuteuliwa wanafanya nini bungeni wakati wanapaswa kutekeleza yanayojadiliwa bungeni? Pili; wanapokuwa bungeni wanakuwa wanakosoa serikali hiyohiyo ambayo imewaajiri?
Source ni TBC Bungeni leo..
Haina lolote la tijaanza wewe kutuonjesha huo utamu wa yale ulio msikia lisu akiongea??? Wakati tukisubilia hiyo hutuba
Tundu Lissu ni tunu ya watanzania,hana nidhamu ya woga,ni mkweli na msimamizi wa haki. Hakika CDM ni taa itokayo kwa MUngu baba. M4C daima