Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,498
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amefikishwa tena leo katika Mahakama Kuu, kwa ajili ya usikilizwaji wa mapingamizi katika kesi ya uhaini inayomkabili.
Leo Septemba 9, 2025 ni mara ya pili kwa kiongozi huyo wa CHADEMA kufikishwa mahakamani hapo, baada ya usikilizwaji wa awali uliofanyika jana Jumatatu Septemba 8, 2025.
Leo Septemba 9, 2025 ni mara ya pili kwa kiongozi huyo wa CHADEMA kufikishwa mahakamani hapo, baada ya usikilizwaji wa awali uliofanyika jana Jumatatu Septemba 8, 2025.