Tundu Lissu aeleza kwanini walimchagua Lowassa kugombea Urais

>>>Wewe kweli ni mwehu....

Kura za Lowasa ni za muungano wa vyama vinne .... Pamoja na mamluki wachache wa cCM.
.. Ukishindwa hoja unakimbilia kuita watu wehu... Poor you...
>>>Wewe kweli ni mwehu....

Kura za Lowasa ni za muungano wa vyama vinne .... Pamoja na mamluki wachache wa cCM.
 
Ukimsilikiza Tundu kwenye hiyo clip utaelewa kwanini walimwomba Edward agombee, hawakuzingatia mapenzi yao, walizingatia majibu ya UTAFITI uliofanywa na hiyo kampuni walioileta. Majibu yalikua ndio hayo, remember majibu yanaweza kuja kwa form usioitaka as well.
Mkuu kwahiyo hayo aliyoyaongea yanafuta hizo kauli walizokuwa wanazitamka??

Na Je, angebaki CCM wangeendelea kuamini huo utafiti au wangeongea zaidi?
 
Umaarufu wa CHADEMA ulitokana na jinsi walivyotuaminisha WaTZ kuwa walikuwa wapingaji wa kikweli wa ufisadi ambapo icon ya ufisadi nchini ni Lowassa. Kiukweli CHADEMA walijiimarisha kwa kutuaminisha kuwa walikuwa wakiupinga ufisadi kutoka moyoni. Kitendo cha kumchukua yule yule Lowassa na kujaribu kumsafisha eti anatembea na 18% ya kura kitawaumiza sana CHADEMA. Sawa waliongeza idadi ya wabunge lakini ikifika 2020 nani atawamini?
Lisu anaongea ujinga tu kujustify tamaa zao.
Wangefikiria kuwaomba radhi watanzania angalau ingewasaidia.
Vinginevyo wataendelea kuisoma namba (japo nasikitika)
 
Katika tafiti ambazo nadhani zilitoa majibu halisi hizi ni miongoni mwazo (bila kujali mimi na wewe tunampenda au tunamchukia Lowasa). Kura za maoni za ccm zilionesha hivyo, alipokuja Chadema/Ukawa hali halisi ilionesha hivyo. Kuna watu walikua wanasema jamaa anahonga but hata akili ya kawaida tu haiwezi amini kama huyu mtu anaweza honga watu wote au makutano yote yale, huyu mtu basi atakua ni Trilionea. Ki ukweli kabisa ushahidi wa mazingira unaonesha JAMAA "Alishinda" mengine tuyaache tu but historia will tell the truth one day.
Jihesabu na wewe ni mateka wa propaganda za uongo!
 
Vipi kama angebakia CCM,wangetoa majibu ya utafiti?...unapokuwa msomi afu muongo inasikitisha sana,maisha ya mtanzania hayatabadilishwa na these greedy politicians who are willing to say/do anything for the sake of power.
 
Limwanasheria lisoma kuliko wote ufipa....Walinitia kinyaa nikahama mazima
 
Chadema iliamini Tafiti za Wazungu kuliko Utafiti wao Wenyewe uliwezesha kuzaa List of shame na kuweka kwny Tovuti Rasmi ya Chama

Siku wakiambiwa Siku wakiambiwa Singasinga wa Escrow anazo asilimia 40% ya kura zote basi wote watampitisha
Its pathetic,tafiti ni jambo la wazi,Leo hii waambie wakutolee findings za hiyo tafiti na jina la taasisi iliyofanya uone kama hawajiumi meno.
 
Katika tafiti ambazo nadhani zilitoa majibu halisi hizi ni miongoni mwazo (bila kujali mimi na wewe tunampenda au tunamchukia Lowasa). Kura za maoni za ccm zilionesha hivyo, alipokuja Chadema/Ukawa hali halisi ilionesha hivyo. Kuna watu walikua wanasema jamaa anahonga but hata akili ya kawaida tu haiwezi amini kama huyu mtu anaweza honga watu wote au makutano yote yale, huyu mtu basi atakua ni Trilionea. Ki ukweli kabisa ushahidi wa mazingira unaonesha JAMAA "Alishinda" mengine tuyaache tu but historia will tell the truth one day.
Ushahidi wa mazingira????
Hata HC nae alikua akiongoza kwenye kura za maoni lakini kilichotokea tumeshuhudia wote.
 
Kabisa, tunashindwa kujiamin sisi mpaka tukawaamin wazungu ndio tuamue hata katika mambo ambayo yako ndani ya uwezo wetu? Ina maana nia ni kufika ikulu pasipo kujali nani anatakiwa kutuwakilisha
Hawa jamaa wanamanisha hata Idd Amin angekuwa hai, na sheria zingeruhusu, na wazungu wangeshauri hivyo, wangemsimamisha agombee tu.

Ni mawazo duni sana haya. Halafu ni kama wanataka kukirudisha chama kwenye mstari kwa kumchafua Dr. Slaa, hili halitowasaidia kabisa, wamuombe tu msamaha.

18% kaingia nazo Lowasa 21% kaondoka nazo Slaa, akili au matope?
 
Lissu hana jipya zaidi sana anaona aibu tu kwa kumpokea mtu aliyemuita mwizi, sasa anajaribu kuhalalisha njaa yake na uongo wake kwa machadema menzake
 
... Nadhani wewe ndiye umejikwaa kwa sababu numbers don't lie... Ndo maana out come of the election, pamoja na figisu zoote, jamaa ameibuka na kura 6 million na wabunge wengi...
Hapana, hapa tuwe wakweli jamani. 2015 kama Chadema iliongeza chochote ni kutoka kwenye washirika wake, cuf na nccr, na unganiko hilo si Lowasa.

Namaanisha hata angesimama Dr. Slaa na kugombea kwa tikiti ya UKAWA, angezifikia zile kura au angezipita kabisa.
 
Back
Top Bottom