Tundu Lissu, Abdallah Mtolea Wapinga Azimio la Bunge Kumpongeza Rais Magufuli

Lisu ni wa kupuuzwa. Labda aungwe mkono na "manyumbu" tu, hapo hakuna tatizo. Mtu mzima ameumbuka ile mbaya. Ajaribu tu kuziba uso ndio iliyobaki.
Kaumbukaje,wewe haujasoma hata nyaraka ambazo Bashe alimwomba Lissu amwoneshe,na alivyozisoma aka-appreciate,wewe from where you know yourself,unacomment hovyo.
 
Kuna wakati Lissu anakuwa very arrogant. Hapo kwenye professorial rubbish alienda mbali sana. Pamoja na hayo, sijawahi kutilia shaka uzalendo wake. Lissu hawezi kununuliwa na wazungu leo wala kesho. Kipindi cha yeye kununuliwa kilikuwa wakati ule ambapo alikuwa peke yake anayeamini tunaibiwa na hata akashtakiwa kwa kupiga kelele kuhusiana na madini-eti ni mchochezi.

Pongezi kwa Prof. Tibaijuka na Bashe kwa kutambua kuwa hoja za Lisu zina nia njema na kwamba yeye ndo mbunge pekee anayelijua suala la unyonyaji wa raslimali zetu kwa kina. Kadiri umri wa Lissu utakavyokuwa unaenda, ndivyo atakuwa anakuwa mzuri zaidi kama mvinyo maana atajifunza diplomacy.
Mkuu inaonekana uko makini sana na mwenye Uhuru wa mawazo
 
Kaumbukaje,wewe haujasoma hata nyaraka ambazo Bashe alimwomba Lissu amwoneshe,na alivyozisoma aka-appreciate,wewe from where you know yourself,unacomment hovyo.
Kaumbuka tu. Kama hutaki kajinyonge na hicho Kiingereza chako cha kukariri. Eti from where you know yourself, khaaa!
 
Kuna wakati Lissu anakuwa very arrogant. Hapo kwenye professorial rubbish alienda mbali sana. Pamoja na hayo, sijawahi kutilia shaka uzalendo wake. Lissu hawezi kununuliwa na wazungu leo wala kesho. Kipindi cha yeye kununuliwa kilikuwa wakati ule ambapo alikuwa peke yake anayeamini tunaibiwa na hata akashtakiwa kwa kupiga kelele kuhusiana na madini-eti ni mchochezi.

Pongezi kwa Prof. Tibaijuka na Bashe kwa kutambua kuwa hoja za Lisu zina nia njema na kwamba yeye ndo mbunge pekee anayelijua suala la unyonyaji wa raslimali zetu kwa kina. Kadiri umri wa Lissu utakavyokuwa unaenda, ndivyo atakuwa anakuwa mzuri zaidi kama mvinyo maana atajifunza diplomacy.
Umechangia vizuri hoja!! Kizalendo zaidi
 
Hon. Tundu Lisu sio wa mchezo mchezo.Hakika huyu Mheshimiwa hajashikiwa akili.
Nikikumbuka jinsi alivomtangaza lowasa kama fisadi mkuu kila kona kila saa, na baadae akageuka, naona kweli huyo MTU sio Wa mchezo mchezo na hajashikiwa akili
 
Wengine wamejipanga jumapili waende kanisani wakiwa na sare za kijani kwa ajili ya ibada ya kumpongeza alowahi kuwa mbunge wao na sasa ndo anaepambania magwangala badala ya madini yenyewe.
Yaani baadhi ya wananchi,pamoja nakua na matumizi ya teknolojia katika simu na vyombo mbalimbali vya mawasiliano,bado kuna wajinga ambao wanajitoa ufahamu nakucheza kila muziki ambao watawala wanataka wacheze,muda mwingine huwa nawaza kua kuna watu wana-abuse demokrasia,hawakuwa wanatakiwa wafanye maamuzi bali wangekua wanaamuliwa.
 
Huwa Nashndwa Kuelewa Km Tuna Bunge Nachojua Kuna Kikao Cha Ccm Pale Dodoma,,,bunge Gani Ikulu Ndyo Inayopanga Bajeti,bunge Gani Sheria Inatungwa Na Mtu Mmoja,bunge Gani Wanaruhusu Rais Na Watendaji Wake Wanavunja Katiba Makusudi,bunge Gani Inaongozwa Na Spika Ambaye Hajui Maana Ya Separation Of Power,bunge Gani Hata Wakuu Wa Wilaya Wanawaogopa?Shameful Kwa Bunge Letu
 
Hivi lisu bado anayatetea majizi. Ana akili mbovu sana sio mzalendo anafaa kufukuzwa nchini
 
Kaumbuka tu. Kama hutaki kajinyonge na hicho Kiingereza chako cha kukariri. Eti from where you know yourself, khaaa!
Sahihisha kiingereza changu nikuumbue hapa,kwanza unavyojibu tu,unaonesha una IQ ndogo,huwezi ukatoa jibu jepesi hivyo,eti "kajinyonge",hakuna logic behind hadi ujibu hivyo.
 
Kaumbuka tu. Kama hutaki kajinyonge na hicho Kiingereza chako cha kukariri. Eti from where you know yourself, khaaa!
Sahihisha kiingereza changu nikuumbue hapa,kwanza unavyojibu tu,unaonesha una IQ ndogo,huwezi ukatoa jibu jepesi hivyo,eti "kajinyonge",hakuna logic behind hadi ujibu hivyo.
 
Kuna wakati Lissu anakuwa very arrogant. Hapo kwenye professorial rubbish alienda mbali sana. Pamoja na hayo, sijawahi kutilia shaka uzalendo wake. Lissu hawezi kununuliwa na wazungu leo wala kesho. Kipindi cha yeye kununuliwa kilikuwa wakati ule ambapo alikuwa peke yake anayeamini tunaibiwa na hata akashtakiwa kwa kupiga kelele kuhusiana na madini-eti ni mchochezi.

Pongezi kwa Prof. Tibaijuka na Bashe kwa kutambua kuwa hoja za Lisu zina nia njema na kwamba yeye ndo mbunge pekee anayelijua suala la unyonyaji wa raslimali zetu kwa kina. Kadiri umri wa Lissu utakavyokuwa unaenda, ndivyo atakuwa anakuwa mzuri zaidi kama mvinyo maana atajifunza diplomacy.
Safi sana mkuu.
 
Mpaka aliye kuwa akuongiza kikao cha bunge ni zero kabisa
Mwisho alimaliza Jaza Ujazweee
 
Nikikumbuka jinsi alivomtangaza lowasa kama fisadi mkuu kila kona kila saa, na baadae akageuka, naona kweli ohuyo MTU sio Wa mchezo mchezo na hajashikiwa akili
Lowasa alipoenda chadema alikalishwa kikao akawaelezea vizuri picha yote juu ya Richmond A-Z wakagundua kuwa kumbe Mmiliki wa Richmond ni kikwete lakini alikuwa akieneza propaganda za kumchafua lowasa kwa nia ya kumdhoofish ma asigombee urais akaja kulipa kisasi.
 
Chenge na yeye atakuepo kumpongeza Rais.
Hahahaha hii tamu sana natamn asimame nimskie akimsifia mh ,cjui atatumia maneno yapi kama atakuwa mzalendo anapswa kusema nashkru mh rais kwa mmi kutajwa kwnye report ni kweli nilikosea sana naombeni msamaha sirudii ten
 
Back
Top Bottom