Tundu Lissu, Abdallah Mtolea Wapinga Azimio la Bunge Kumpongeza Rais Magufuli

Sahihisha kiingereza changu nikuumbue hapa,kwanza unavyojibu tu,unaonesha una IQ ndogo,huwezi ukatoa jibu jepesi hivyo,eti "kajinyonge",hakuna logic behind hadi ujibu hivyo.
Aisee yaani from where you know yourself? Kaaz kwel kwel.
 
Alafu kwa hawa jamaa kuleta hii kitu bungeni ina maana imerekodiwa kigezo kwamba itakuwa aibu iliyorekodiwa.

Nadhani weliokuwepo mnakumbuka mtu anaitwa Jairo alivyobebwa wizarani na video zilikuwepo hivyo waliombeba wanajiona sasa ...sijui wanajicheka au wanajililia!

Kwani kulikuwa na shida gani kama wangepitisha azimio la kumtaka Mwenyekiti wa ccm kwa niaba ya wabunge wake na serikali zilizomtangulia kuwaomba radhi Watanzania kwa mateso waliyowaletea!?

Na wangeleta Azimio kama ili hata wanaokatazwa kuwataja wastaafu wangetii maana si wameombwa msamaha.
 
Mtolea, wananchi wa Temeke hatujakutuma bungeni kwenda kudandia hoja za wengine. Temeke tuna changamoto nyingi sana zinazotukabili. Hilo la wabunge wa CCM kumpongeza M/kiti wao wewe linakuuma nini?. 2015 uliipata kura yangu, 2020 anguko ni haki yako.
 
Mtolea, wananchi wa Temeke hatujakutuma bungeni kwenda kudandia hoja za wengine. Temeke tuna changamoto nyingi sana zinazotukabili. Hilo la wabunge wa CCM kumpongeza M/kiti wao wewe linakuuma nini?. 2015 uliipata kura yangu, 2020 anguko ni haki yako.
Hivi huwa mnakula maharage ya wapi? Unataka umpande kichwani mbunge kiasi kwamba awe anazungumza kinachokufurahisha wewe tu? Mimi ni mwananchi wa Temeke, naunga mkono hoja yake, na mwaka 2020 nitampa kura yangu inshaalah!
 
Kwenye madini tunaingizwa mkenge sana,eneo ambalo pekee lingeweza kuibadili taswira ya Tanzania kwenye uso wa dunia.

Nachelea kumuunga mkono Mh.Rais hadi hapo tutakapo pata pato la zaidi ya asilimia hamsini (50%),kama gawio.
 
Ukiona mtu kwenye kila kitu anajibu ndiooo ujue kuna shida sehemu au kichwa yake haipo sawa
 
msimamo wa Lissu juu ya rasilimali ya madini haujabadilika tangu 1999 alipoanza kujulikana lakini misimamo ya wabunge wa CCM hubadilika kutokana na misimamo ya Mwenyekiti wao Taifa (Rais wa JMT). Binafsi, nilishawapuuza
 
Lisu ww ni mmoja kati ya watabiri wapeleke darasani hao viraza wa ccm wasaliti wakubwa hao nawakati kipindi hicho walikuwa wanashangilia kupitisha hiyo mikataba Leo hii wanampongeza waache kuwa vigeigeu hao viraza was ccm wanaenda tu upepo unapoelekea na wenyewe hukohuko kueni na misimamo.
 
Kaumbukaje,wewe haujasoma hata nyaraka ambazo Bashe alimwomba Lissu amwoneshe,na alivyozisoma aka-appreciate,wewe from where you know yourself,unacomment hovyo.
Ukuchunguza kiwango cha elimu yake ni F4 failure. Mwache kama alivyo hawezi kuelimika.
 
Back
Top Bottom