Tundu hafai kuwa mwanasheria wa CHADEMA

Tundu hafai kuwa mwanasheria wa CHADEMA

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
5,599
Reaction score
1,798
Ni mwanasheria anayejichanganya na mwisho wa siku anawachanganya wenzake. Mfano kesi hii ya leo, alitamba sana kumtoa knock out wakili kijana Msonda, kwa kutumuia ujanja wa kisheria lakini kapigwa chini. Ni aibu kwa chadema kumtegemea kama mwanasheria wenu.Atakuja waangusha kwenye swala kubwa kuliko hili. Nawasilisha.
 
Kesi ya Dowans ilishikiliwa na jopo la mawakili waliobobea hapa nchini yet walipigwa chini. Kumbuka kila swala mahakaman lina pande mbili. Ebu fanya marejeo nyuma.....kesi ngapi CDM imeahindwa zikiwa chini ya huyo unayemuita leo kimeo...shame on you...kauze mihogo au kahawa maji
 
Ngoja uje uchambwe na TeamLissu
Wakati wanasema ni kichwa cha kutegemewa Chadema hicho
 
Ni mwanasheria anayejichanganya na mwisho wa siku anawachanganya wenzake. Mfano kesi hii ya leo, alitamba sana kumtoa knock out wakili kijana Msonda, kwa kutumuia ujanja wa kisheria lakini kapigwa chini. Ni aibu kwa chadema kumtegemea kama mwanasheria wenu.Atakuja waangusha kwenye swala kubwa kuliko hili. Nawasilisha.

Dogo nani amekudanganya kwamba Majaji wanafuata sheria kwenye issue kama hii yenye interest ya CCM? The Judiciary of Tanzania is not yet independent! NOT YET UHURU! But the time is coming when the Judiciary will be free! It is just a matter of time!
 
Nani huyu mboronga sheria? Ha ha ha ha ha ha ha, hata kikwete alimchamba juzi hadharani.
 
Hujui unalosema. Kwani uliambiwa kuwa mwanasheria ndo kutoa hukumu au kwa akili yako unadhani wanasheria wote wangeshinda kesi? Unajua jukumu la mwanasheria katika mahakama?
 
Haya ni madhara yatokanayo na kutoroka hospitalini mirembe na kukatisha dozi
 
Ni mwanasheria anayejichanganya na mwisho wa siku anawachanganya wenzake. Mfano kesi hii ya leo, alitamba sana kumtoa knock out wakili kijana Msonda, kwa kutumuia ujanja wa kisheria lakini kapigwa chini. Ni aibu kwa chadema kumtegemea kama mwanasheria wenu.Atakuja waangusha kwenye swala kubwa kuliko hili. Nawasilisha.

msiojua masuala ya sheria na mahakama msilete umbeya, ulizeni muambiwe, kuna wakati hoja zako zinaweza zikawa za msingi lkn jaji akatoa uamuzi tofauti na matarajio yako, ndiyo maana kuna kukata rufaa

pia ujue kesi haijaisha ndio inaanza kusikilizwa kwa sasa ili kuchambua ngano na makapi
 
Utawarubuni wenye akili ndogo, lakini wenye uelewa wanajua kila kitu kilivyoenda, na wanaujua ukweli kuhusu namna kesi ilivyofunguliwa, ilivyoendeshwa mpaka hukumu, kazi kwako unaye wayawaya.
 
Ni mwanasheria anayejichanganya na mwisho wa siku anawachanganya wenzake. Mfano kesi hii ya leo, alitamba sana kumtoa knock out wakili kijana Msonda, kwa kutumuia ujanja wa kisheria lakini kapigwa chini. Ni aibu kwa chadema kumtegemea kama mwanasheria wenu.Atakuja waangusha kwenye swala kubwa kuliko hili. Nawasilisha.
Kumbuka sheria sio kama mbio ndefu mwenye hatua kubwa ndio mshindi
 
Naogopa kuchangiwa maana ntakimwa ban sasa hivi
 
dogo nani amekudanganya kwamba majaji wanafuata sheria kwenye issue kama hii yenye interest ya ccm? The judiciary of tanzania is not yet independent! not yet uhuru! But the time is coming when the judiciary will be free! It is just a matter of time!
new life in kyerefaso
 
Back
Top Bottom