Tundu 'Frankenstein' Lissu

Huwo ushauri ulipaswa umpe Tundu Lisu kabla ya majanga, lkn pia unaweza kumpa akitoka haujachelewa!

MUNGU AONAYE SIRINI NA AHUKUMU KADIRI AONAVYO,.SISI WANADAMU TUMEPEWA JUKUMU NA KUONYA KWA MTU YULE ATENDAYE UOVU ILIAIACHE NJIA MBAYA,(ezekieli 33;7-9) .MWENYE KUTOA LAANA JUU YA MTU BAADA YA KUMWAGA DAMU ISIYO NA HATIA KAMA ILIVYO KUWA KWA KAINI NI MUNGU PEKEE.Natambua wewe ni MKRISTO kwa hiyo unajitoa ufahamu kuwa furahisha wakubwa/Mabwana lakini umesahau kuwa kuna kufa,umesahau kuwa kuna magonjwa,umesahau kuwa kuna ukomo wa haya ,umesahau kuwa kuna laana unaweza kuichuma, umesahau kuwa kuna kuachishwa unacho kifanya.Dada CCM isiwe kila kitu kwako na hata kukotolea ubinadamu na hata kukukosesha mbingu,na hata kukusababishia moto wa milele.Kwa nini ukubali kuwa laana(kwenu) kisa CCM?
 
Ni hapo utakapomwona anatembea. Dunia hii kila mtu na ngozi yake. Marando ile kitu mlifanya si sawa na hii mliyofanya,
sumu na risasi ni vitu viwili tofauti. Tundu atatembea na hamtaamini


Na siku ukisikia waliompiga risasi Tundu Lisu walikuwa ni chadema utasema nini? Mbona na wewe unakifanya kile kile ambacho unawalaumu wengine kukifanya? Unahukumu bila ya kuwa na ushahidi wowote ule, unawajua waliompiga Tundu Lisu risasi?
 
Hapo unaweza kuwa una make a case against the government,na mshabiki wa Tundu Yesu anakushambulia wewe.

Al-Watan, unayo ruhusa ya kudhihaki na kumuita mtu yeyote Yesu, the name means nothing to you, aint it? Kwa wengine ni kufuru but then how would you know that?

Similarly to your buddy Nyani Ngabu, the name Yesu ain't nothing. It is no wonder, he rejoices at the agony Mh. Tundu is undergoing right now, the dude is blood-thirsty.

His coming up with the name Frankenstein wasn't accidental just like 30 bullets into Mh. Tundu's body weren't accidental. God's Power and Glory has been manifested...thanks be to God!
 
Nafikiri jina Frankenstein, si sahihi kwa Lissu. Afadhali ungemwita Superman, au Ironman, au Spiderman.
 
Na siku ukisikia waliompiga risasi Tundu Lisu walikuwa ni chadema utasema nini? Mbona na wewe unakifanya kile kile ambacho unawalaumu wengine kukifanya? Unahukumu bila ya kuwa na ushahidi wowote ule, unawajua waliompiga Tundu Lisu risasi?

DADA siku zote nakuambia mimi siyo mwanasiasa mimi ni mtumishi wa MUNGU na huwa na kwambia ukweli unacho kiandika kinafanana na jinsi ulivyo.Huwa unajitoa ubinadamu na kuvaa ushetani.CCM wote ni binadamu na wote ni mali ya MUNGU na wote watakufa,KWANINI WEWE Pekee ndiyo unajivika USHETANI?.Tazama ni nani CCM ambaye ana maneno ya kishetani yasiyo na chembe ya utu ndani mwake kama siyo wewe ? unafikiri CCM wote ni wajinga hata wasiweze kuandika ushetani kama wako lahashaa..wana hofu na MUNGU na wanajua ipo siku watakufa na CCM wataiacha na wataulizwa kwa matendo yao.,Nakuonya tena acha tabia hizo acha kumsaidia shetani kazi,acha kuchuma laana ndani ya nyumba yako za kutofaulu na kutoelewa zinatosha
 
Black and white na ndio hali halisi
 
Kufuru pekee hapa ni kuongelea kuongelea mtu kufuru.

We must be careful not to deify people even as we humanize gods.
 

Hahahaaa...I just let out a loud guffaw.

You can't be serious, dude.

Hahahahahaaa.
 
Zamu yako inakuja, nakuhakikishia kwa Jina la Mungu na Wewe utapigwa risasi, note my words.
Dunia ni ya Mungu, Tanzania ni ya Mungu, hamtabaki salama kwa uovu wenu.
 


Hivi wewe unafikiri hii Dunia imeanza na Tundu Lisu? Tuko hapa kwa zaidi ya miaka milioni 4, fikiria hilo!
 
Zamu yako inakuja, nakuhakikishia kwa Jina la Mungu na Wewe utapigwa risasi, note my words.
Dunia ni ya Mungu, Tanzania ni ya Mungu, hamtabaki salama kwa uovu wenu.


Labda kwa mara ya pili, nishapigwa risasi ya mguu AK, hiyo kitu inauma usiguse!
 
Unakumbuka walimfanya nini Mwangosi?
Unakumbuka nini kilimpata Mwakyembe mpaka kuamua kuvaa gloves na kofia?
Ajali za barabarani je?

Waliojaribu kuondoa uhai wa msema kweli mpenzi wa Mungu, wewe unaliita Lidubwana watakuwa kazini kuandaa mpango mpya wa kulitokomeza lidubwana.

Unawezaje kuwa "msaliti (msema kweli) na kuendelea kuishi?

Haya madubwana mengine yameamshwa.

Link Askofu Niwemugizi asema yuko tayari kuitwa mchochezi
 
Nyani ngabu Leo umeongea point, kasoro hapo kwenye ukabila.jambo hilo ni dhahiri wala aihitaj elimu ya PhD kuliona hilo.
 
Nyani ngabu Leo umeongea point, kasoro hapo kwenye ukabila.jambo hilo ni dhahiri wala aihitaj elimu ya PhD kuliona hilo.

Hakuna ukabila wewe.

Hivi ni nani jeshini aliyekuwa next in line kushikilia usukani zaidi ya Mabeyo?

Kuna mtu au watu waliorukwa na akapewa Mabeyo ambaye hakustahili na hakuwa na sifa?
 
Never on the earth.other lissu will come and rise.who did it God will give her share.ndo mwanzo huo.you cant close the mind of redeemers when they are in deep sorrow.matter of time.R.I.P Babarosa
 
Sasa bashite kula mkate kwa nguruwe siku zake zinahesabika kama mulivyotumia risasi ndivyo Nanci mutakavyoondoka kwa risasi watch it kama madole hayakutoshi utapata habari yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…