Tundu 'Frankenstein' Lissu

..nakuunga mkono 100%.
..binafsi sikupenda alivyotumia jina "Frankeinstein" ktk sentensi moja na jina la Tundu Lissu.
..lakini wakati mwingine inabidi uvumilie tu ktk kuchanganyika na hawa vijana wa Lumumba.
Waliloazimia Mwenyezi Mungu bado kaweka breki na kiwewe kilichowakumba ni kizito...kila moja katika wahusika kwa namna moja ama nyingine anatapatapa. Wako waliotayarishwa kuanzisha mada za hovyo mtandaoni hata hivyo tunao, tutawaumbua kila wakitokeza pua hadi waone aibu. Fikiria mtu na akili zake timamu anamfananisha Mh. Tundu Lissu na the evil monster kwenye filamu frankenstein! Je hao waliopanga mauaji wenyewe atawafananisha na nani kwenye hiyo filamu? How low can one get!
 
Tundu Lisu ni Msaliti, mwisho wa mjadala!
Tamka kasaliti nini?! Zaidi ya kuwasaidia WaTz wanaoonewa na serikali yako?! Na kuwaambia ukweli ikiwemo na bunge !! Taja usaliti wa Lissu linganisha hata na alietushikia bendera?!!
 

Wewe ni mpumbavu kabisa.
 
..nakuunga mkono 100%.

..binafsi sikupenda alivyotumia jina "Frankeinstein" ktk sentensi moja na jina la Tundu Lissu.

..lakini wakati mwingine inabidi uvumilie tu ktk kuchanganyika na hawa vijana wa Lumumba.

Oh please. You are just as stupid.

Nimetumia mfano wa Frankestein metaphorically.

Lakini kwa sababu ya upumbavu wenu mna spin hoja yangu.

Pumbavu kabisa.
 
umeeleweka mtumwa wa shetani
 
Wewe ni mpumbavu kabisa.

..Mzee mwenzangu nadhani umeteleza kiduchu ktk heading ya bandiko lako.

..Hata mimi sijapendezwa na jina "frankeinstein" lakini nimevumilia tu hivyo hivyo.

..kama itakupendeza naomba urekebishe hoja yako tuendelee na mjadala.
 
Oh please. You are just as stupid.

Nimetumia mfano wa Frankestein metaphorically.

Lakini kwa sababu ya upumbavu wenu mna spin hoja yangu.

Pumbavu kabisa.
Mimi nimemwita Tundu Yesu.

Naona walokole hawajaniona bado.
 
Wabunge wa UKAWA waliomba bunge lisimame na kujadili hali ya mauaji Kibiti, je nafasi ya mjadala huo ulipatikana?! Unajitia huoni bure kabisa wewe?! Hizi itikadi hazitakusaidia chochote zaidi ya Tz kuendelea kusota mkiani
 
Lisu kawashinda kichwani ndo maana kila kumkamata kulikuwa hakumpati na hatia,shetani kaona short cut ni kumuua tu,akidhani ataepusha kero
 
Wabunge wa UKAWA waliomba bunge lisimame na kujadili hali ya mauaji Kibiti, je nafasi ya mjadala huo ulipatikana?! Unajitia huoni bure kabisa wewe?! Hizi itikadi hazitakusaidia chochote zaidi ya Tz kuendelea kusota mkiani


Tafuta uzi unaongelea ajali ya wana CUF waliofariki wakitokea Bungeni, halafu uone chadema walivyofurahia, tena kama ushahidi utaona majina ya hawa hawa wanaolazimisha kila mtu awe na huzuni na Tundu Lisu walivyokebehi na kufurahia vifo vya Binadamu wengine, kama nilivyosema huzuni ni swala la mtazamo tu, kama wewe una huzuni na Tundu Lisu sawa hamna tatizo lkn siyo lazima kila mtu awe na huzuni kama vile ninyi ambavyo pia hamkuwa na huzuni na wana CUF waliofariki kwa ajali ya gari, ni rahisi kihivyo tu!
 
Ataendesha harakati zake kwenye wheelchair
Wheel chair,
Unaumwa vilivyo chooni we we,
Jamaa yupo salimini bin salaaaama,
Mmeshikilia rambirambi mmeona kifo hakimpati mmeanza kumuwazia ulemavu,
Napo Mungu atawaaibisha
 
Ukiwa mfuasi wa ccm kichwani kunabaki ombwe (vacum), empty headed
 
Kama alivyowashangaza watu wa kawaida na madaktari kuendelea kuishi hata baada ya kupigwa mwilini zaidi ya risasi 10 na kupoteza 80% ya damu yake, TAL atawashangaza tena mtakapomwona akitembea.

Risasi ambayo itamfanya achelewe kutembea ni ile aliyopigwa kwenye nyonga. Lakini watu hufanyiwa total replacement, na baadaye, baada ya mazoezi ya muda fulani, hutembea tena.

Baada ya hatua hii, yawezekana akawa dhaifu wa mwili lakini atakuwa ni mwenye nguvu zaidi kisiasa. Wait and see.
 
Suspect no. One yuko kimya, wakati kila mtu anamfahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…