Tundu Antipas Lissu

Turning point ya slaa ni mchungaji wake na huenda ndio anapaswa kubeba lawama zote hizi slaa ss ni km hajui anachosema na kufanya
 
Lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, raisiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

Ccm parapanda imelia kwenu mwaka huu, ccm mnajaribu kukwepa kifo, kifo hakikwepeki, unaweza kucelewa kufa ila huwezi kukwepa kufa, ndio kifo kimewajia ccm..
 
uko sawa kabisa na asante kwa umakin wako,ila mi kura yangu ukawa na siyumbishwi na mtu ambaye alishindwa kusimamia wito wake.
 
binafsi Lissu kanisikitisha sana, siamini huu kama ndo uwezo wake kwa sasa, yaani anasema Dr anasema mshenga hasemi mposaji, kama Dr ndo alikuwa mposaji sasa si kisha goma hataki tena kuposa, sasa vipi chama kiendelee na mikakati? mtu akigoma haoi tena humlazimishi, badala yake chama kikaendelea tu kuoa, hapo si kweli kuwa tayari walishapanga?
 
ASSET na LIABILITY

Warning: UKAWA sio business entity, kafanyeni biashara zenu huko! UKAWA ni mabadiliko period!

Pamoja na hayo mkuu Asset= capital +liability.kwaio asset na liability sio vitu tofauti liability iko ndani ya asset. Kwaio hao magamba wataisoma namba.
 

Kwamba Slaa agome na chama kiache? Kwani yeye nani? Na kama angekuwa anawapenda waTanzania siangesema mapema kuwa hakubaliani na Lowassa kwenda Chadema. Anakuja kusema wakati i'ts too late anataka wananchi wafanye nini sasa? Anataka tuchague Magufuli ambaye kwa mujibu wa Slaa huyohuyo Magufuli yupo chooni (CCM)? Hana maana yule mzee!
 

Hivi kwa nini umeamua kupoteza muda wako wa thamani kwa kuandika ngonjera? Unathubutu kusema hoja alizotoa Dr Slaa hazijibiwi, hizo hoja ni zipi? Richmond ni hoja mpya kweli? Richmond imekuwepo kwenye vyombo vya habari kwa muda mrefu sana, na mhusika mkuu anafahamika kuwa ni JK, Lowassa aliwajibika kuiokoa serikali. Hili nalo lafaa kutupotezea muda?

Sioni kosa la Tundu Lissu, in fact aliyefanya siasa za majitaka ni Slaa, ambaye amekitukana chama na kuiona yeye yupo smart sana wakati siyo. Lissu bila shaka anamjua Slaa vizuri kuliko mimi na wewe na kusema ukweli kuwa Slaa aligeuka ghafla baada ya kutupiwa mabegi na mke wake sioni kosa! Ulitaka adanganye umma kuwa hajui kilichotokea?
 
Msanii

Kaka wewe ni mkongwe humu na nilitegemea ungekuja ni kitu kisichokuwa na shaka

tafadhali elewa hivi,

Dr Slaa yeye aliita wandishi wa Habari na kuongea alichopanga kuongea

Tindu Lissu yeye alipigiwa simu na waandishi wa habari wa VOA na alikuwa anawajibu walichokuwa wanamuukiza, sasa wewe ulitaka ajibu asichoulizwa?

ungekuwa na hoja kama CHADEMA nao wangekuwa wameitisha press conference ya kujibu hoja za Slaa na kisha kuongelea vitu vingine bila kujibu hoja

cc: JEKI
 
Last edited by a moderator:

Hahahaha
 
Mapenzi na mahaba ni maneno tu ila maana moja.

Sijaongelea UCCM wala UCHADEMA bali HOJA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…