Hahahaah we mbishi unalila na chumvi.
Wachaga wanalila sana parachichi tena wanapenda kulila na Ndizi za nyama...
Ndizi kwa wanaume tunazila kama karanga. Unakata vipande vidogo vidogo unakuwa unarushia mdomoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ni halali kabsa kuzirudsha sokoniNazi haieleweki kama ni Tunda au Mboga, ipo kote kote. Nazi huwa inagongwa, unainywa maji kisha unaipeleka nyumbani Ikakunwe na mbuzi...
Majuzi nikiwa napita sokoni nilinunua nazi ili niende nyumbani nikazile kimasikhara ila zilitia huruma mpaka nimeirudisha sokoni wanibadilishie. Kusema ukweli nilishindwa kuila Kimasikhara kabisa yani... (Sitanii kabisa)
View attachment 1368492
View attachment 1368493