Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,111
- 34,940
Kwetu linaitwa Bibo.
Kwani unguja hakuna mabibo na korosho?Ata sijui
Kwenu wapi Bukoba au Mjini Moshi?kwetu halipo.........sisi tuna ndizi tu......
bibo na korosho yake...
Kwani unguja hakuna mabibo na korosho?
kwetu halipo.........sisi tuna ndizi tu......
Nimekumbuka Unguja kuna Mihogo,nazi, hakuna Korosho wala pamba. Pemba kuna Karafuu,mihogo nazi hakuna korosho wala Pamba.Hamna...for the first time nimeona hiyo mtwara
kwanza hakuna kabisaa....Kwetu halina jina.
Nimekumbuka Unguja kuna Mihogo,nazi, hakuna Korosho wala pamba. Pemba kuna Karafuu,mihogo nazi hakuna korosho wala Pamba.