Fahami Matsawili
Senior Member
- Mar 8, 2018
- 172
- 153
Takwimu zetu zinaonesha ndani ya miaka 6 kati ya Mwaka 2014 - 2019, kama nchi tuliagiza nje bidhaa za vyakula zinatokana na sekta ya kilimo zenye thamani ya Shilingi Trilioni 7.7.
Sawa na Wastani wa shilingi Trilioni 1.3 kwa mwaka mmoja ndani ya miaka 6, bidhaa hizo kwa asilimia ni (1)Ngano 53.3% (2)Mafuta ya Kula 22.6 % (3) Sukari 16.2 % (4) Mbegu za Mahindi.
Hii ni fursa kwa Sekta binafsi katika maeneo muhimu sana kwao kuweka nguvu zaidi kuanzia mwaka huu 2022, serikali yetu ikiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan inawekeza kwenye kujenga mazingira rafiki kwa wawekezaji kuazia sera rafiki na zinazotabirika, suala la Amani (political stability) na ujenzi wa Miundombinu kama sekta wezeshi kwa Sekta ya Viwanda ili uchumi wetu uzalishe na Ukue zaidi.
Tanzania tumesaini mkataba wa eneo huru la biashara kwa nchi za Afrika [Agreement Establishing African Continental Free Trade Area -Afcfta]
Lazima tukope pesa tumalize miradi ya kimkakati, tuweke mazingira rafiki kwa wawekezaji wa ndani na nje ili Tanzania tunufaike zaidi na soko hili la eneo huru la biashara Afrika kwa kuwa tunakwenda kupanua soko la biashara na kuhitaji wawekezaji na Wafanyabiashara.
hakuna namna tunaweza kutumia pesa za makusanyo ya ndani pekee tutawaumiza wananchi wetu na kodi zisizo rafiki na kuchelewa kufikia malengo yetu kwa wakati tuliopanga, tunahitaji kukopa pesa ili kujenga miundombinu wezeshi kwa ajili ya Uzalishaji ili kukuza Uchumi wetu.
Rais wetu Samia Suluhu Hassan anafanya kazi kubwa, ya kuhakimisha nchi yetu inakwenda mbele kimaendeleo, jukumu letu ni kumpa moyo katika jitihada kubwa anazofanya kwa ajili ya Maendeleo ya Nchi yetu.