Jopelo John
JF-Expert Member
- Aug 17, 2018
- 317
- 71
- Thread starter
-
- #41
hahaha. sasa mkuu watu ambao ni serious mbona wanapiga simu na ninawapa bei. na betri zipo stock.Mkuu ukiweka bei naomba unitag nije kuangalia
njoo chemba bosi.Weka bei achana na longolongo
185,000 bosi. ndani ya warranty. (bei inabadilika) kwahiyo usishangae wiki ijayo bei ikabadilika. tunalipia gharama za yard kila siku.N70 bei gani?
njoo chemba, mkuu. kuna magent kibao wa mabetri wanakuja kuchukua hizi betri. kwahiyo usiogope njoo kwenye simu.bei mbona hujaweka ? au dalali wewe ?
hahaha, hio bei ya N70 umetaja kwasababu nimeitaja kwa mdau niliyemjibu kwenye uzi huu na bei ya n70 za huku mtaani hawauuzi kwa bei hio ni zaidi ya hio bei.Mie sipigi simu weka bei ya N50 dry hapa ili ninunue nipo serious juzi nimekuuliza unaleta hadithi nyingi nikaenda kununua N70 kwa Tshs 185,000 kwa wahindi sasa wewe endelea kuficha
Nina shida na battery lakini ningependa uniambie hapa hapa bei ya N 50njoo chemba bosi.
sababu zangu nimeshazisema mkuu. kama unaona utapoteza credit kunipigia simu basi poa,Nina shida na battery lakini ningependa uniambie hapa hapa bei ya N 50
Sawa mkuu ila siku ukiwa tayari kuweka bei ni tag , biashara yako na maamuzi ni yako piasababu zangu nimeshazisema mkuu. kama unaona utapoteza credit kunipigia simu basi poa,
mteja ambaye anajua bei za soko la mabetri kwingine na akija kwangu atajua utofauti mkubwa.
hahaha, hio bei ya N70 umetaja kwasababu nimeitaja kwa mdau niliyemjibu kwenye uzi huu na bei ya n70 za huku mtaani hawauuzi kwa bei hio ni zaidi ya hio bei.
sasa mbona mwanzo umesema umenunua 185,000 lakini kwenye risiti inaonyesha 350,000 na tarehe ni mwaka 2018.Biashara ni yako uamuzi pia ni wako tutanunua tulikozoeaView attachment 1192099