nadnan sab
Senior Member
- Jan 13, 2013
- 104
- 17
Habari za saa hiizi wanajamvi!!
Utafiti nilioufanya kwa kina nimegundua yakua hapa JF hakuna mapenzi ya kweli ni kuzinguana tu bure yani muna taftana munapatana hapahapa JF munatongozana humuhumu munakubaliana nakuoana humuhumu JF na munaachana humuhumu bila hata yakuonana..!! Ni wachache sana Wasema kweli..!!
Shaurilo, wenzako tunakamua alizetu, wee piga tu makelle yako ya kuumizwa moyo na mapenzi ya makatuni.Habari za saa hiizi wanajamvi!!
Utafiti nilioufanya kwa kina nimegundua yakua hapa JF hakuna mapenzi ya kweli ni kuzinguana tu bure yani muna taftana munapatana hapahapa JF munatongozana humuhumu munakubaliana nakuoana humuhumu JF na munaachana humuhumu bila hata yakuonana..!! Ni wachache sana Wasema kweli..!!
Shaurilo, wenzako tunakamua alizetu, wee piga tu makelle yako ya kuumizwa moyo na mapenzi ya makatuni.
Ushauri,
Usishoboke na uzuri wa avatar
New news kuwa watu wanatongozana humu JF. nilikuwa sijui!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kumbe ulikuwa unanitania mi nikajua unanitongoza siriasi na nshaanza kukupenda ujue!!!!!!!

Whisky yangu, jamani iko wapi.
Ipo wewe tu......
Habari za saa hiizi wanajamvi!!
Utafiti nilioufanya kwa kina nimegundua yakua hapa JF hakuna mapenzi ya kweli ni kuzinguana tu bure yani muna taftana munapatana hapahapa JF munatongozana humuhumu munakubaliana nakuoana humuhumu JF na munaachana humuhumu bila hata yakuonana..!! Ni wachache sana Wasema kweli..!!
Acha hizo, mimi nime m PM mwanaJF tukakutana laiv, kanipa mapenzi ya kufa mtu, yaani ninamfaudu.Habari za saa hiizi wanajamvi!!