Jeanclaude
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 259
- 237
Wanjf,
Tangu jana asubuhi Tanesco bila taarifa walikata umeme maeneo ya Kibangu Ubungo hadi leo hawajarudisha nishati hiyo muhimu. Kwa kukata umeme (bila taarifa), TANESCO imetupa madhara mengi ikiwemo ya kisakolojia na mipango (kiuchumi). Je, kuna uwezekano wa sisi tulioadhirika na uzembe huu kuchukua hatua za kisheria kudai fidia? Hatutaki kuilaumu, kama ni lawama wamezoea, wana ngozi ngumu kustahimili lawama. Tunataka sheria ifanye kazi, ushauri bandugu!