mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,310
- 6,548
Wafuasi wa CUF Lipumba Leo wamejitokeza kwa wingi katika ofisi yao iliyopo buguruni huku wakiimba kwa mori wakiwataka CDM waende katika ofisi zao.
Akizungumza na wafuasi wake pamoja na waandishi wa habari kaimu katibu Mkuu wa CUF anayetambuliwa na Lipumba, amesema wao wapo tayari kulinda ofisi yao endapo watavamiwa.
Magdalena alivitaka vyama vingine hasa CDM kuheshimu vyama vingine ambavyo vina katiba na vimepata usajili halali kutoka kwa msajili wa vyama vya siasa.
Bibi Magdalena ameandika barua kwa IGP kumjulisha juu ya vitisho wanavyopokea toka CDM na nakala imepelekwa pia kwa msajili wa vyama.
Chanzo: Azam news.
Nionavyo:
Wahenga walisema kua uyaone.