CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 May 27, 2012 #21 sobhuza said: Usijali mpenzi, nimekusikia. Click to expand... gud nyt,ur bby z slipng nw.....
KOKUTONA JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 8,651 Reaction score 6,110 May 27, 2012 #22 Mnakataa zawadi lol!!
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,356 May 28, 2012 Thread starter #23 Charminggirl said: gud nyt,ur bby z slipng nw..... Click to expand... Slip well honey, uniote.
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,356 May 28, 2012 Thread starter #24 KOKUTONA said: Mnakataa zawadi lol!! Click to expand... Sio kwamba tunakataa Koku, ila kila siku machungwa, khaaaa...
KOKUTONA said: Mnakataa zawadi lol!! Click to expand... Sio kwamba tunakataa Koku, ila kila siku machungwa, khaaaa...
Cantalisia JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 5,221 Reaction score 2,930 May 28, 2012 #25 kuna machungwa yako hapa,uko wapi nilikuletee lol!
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,335 Reaction score 23,951 May 28, 2012 #26 sobhuza said: Usharomaro tu unakusumbua, ukitia nia fenesi lalika bila hata mafuta. Click to expand... Halafu hiyo shughuli ya kuosha mikono baada ya hapo utahadithia...
sobhuza said: Usharomaro tu unakusumbua, ukitia nia fenesi lalika bila hata mafuta. Click to expand... Halafu hiyo shughuli ya kuosha mikono baada ya hapo utahadithia...
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,356 May 28, 2012 Thread starter #27 Cantalisia said: kuna machungwa yako hapa,uko wapi nilikuletee lol! Click to expand... Bidada naona una nia ya makusudi ya kunitapisha...
Cantalisia said: kuna machungwa yako hapa,uko wapi nilikuletee lol! Click to expand... Bidada naona una nia ya makusudi ya kunitapisha...
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,356 May 28, 2012 Thread starter #28 Mentor said: Halafu hiyo shughuli ya kuosha mikono baada ya hapo utahadithia... Click to expand... Unajua hata clean-up ya baada ya mechi ya uwanja mdogo inakuwaga kero, ila ungeona mijitu inavyopandana wala hungedhani. Satisfaction comes first...
Mentor said: Halafu hiyo shughuli ya kuosha mikono baada ya hapo utahadithia... Click to expand... Unajua hata clean-up ya baada ya mechi ya uwanja mdogo inakuwaga kero, ila ungeona mijitu inavyopandana wala hungedhani. Satisfaction comes first...
Yummy JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 1,796 Reaction score 1,337 May 28, 2012 #29 sobhuza said: Unajua hata clean-up ya baada ya mechi ya uwanja mdogo inakuwaga kero, ila ungeona mijitu inavyopandana wala hungedhani. Satisfaction comes first... Click to expand... Mmmhhhh.....ni machungwa kweli haya yanaongelewa hapa?
sobhuza said: Unajua hata clean-up ya baada ya mechi ya uwanja mdogo inakuwaga kero, ila ungeona mijitu inavyopandana wala hungedhani. Satisfaction comes first... Click to expand... Mmmhhhh.....ni machungwa kweli haya yanaongelewa hapa?
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,356 May 28, 2012 Thread starter #30 Yummy said: Mmmhhhh.....ni machungwa kweli haya yanaongelewa hapa? Click to expand... Usiogope mrembo, nimetoa mfano tu ili kumwelewesha huyu mdau, au kuna ubaya?
Yummy said: Mmmhhhh.....ni machungwa kweli haya yanaongelewa hapa? Click to expand... Usiogope mrembo, nimetoa mfano tu ili kumwelewesha huyu mdau, au kuna ubaya?