hhhaa jamani mi hoi kwa cheko leosobhuza...mjitahidi kuchunguza na msimu kabla hamjatuletea machungwa kutoka Segera.
Sasa hivi machungwa yamemwagika mjini, mpaka sh.50 unapata tunda. Chondechonde wasafiri mnaokuja kwenye sendi ofu sijui vichen pati, nunueni matunda mengine, hata mapera sio mbaya!
Mi hata siwapangii tunda la kuleta, ila machungwa no, hata sisi wenyewe tunamudu.

...mjitahidi kuchunguza na msimu kabla hamjatuletea machungwa kutoka Segera.
Sasa hivi machungwa yamemwagika mjini, mpaka sh.50 unapata tunda. Chondechonde wasafiri mnaokuja kwenye sendi ofu sijui vichen pati, nunueni matunda mengine, hata mapera sio mbaya!
basi twaja na mafenesi
Nini kinaendelea hapa jamani?
CUTE unajua mwenyewe anakuona ivo, ukilizua la kulizua mie simo.