Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 20,640
- 30,737
Wenzake wanapigania katiba mpya na tume huru ya uchaguzi yeye anaenda kuhalalisha huo uchaguzi wa wizi kisha anaenda kulalamika twitter.Ndiyo maana CCM wanafanya yao
Bure kabisa
Wenzake wanapigania katiba mpya na tume huru ya uchaguzi yeye anaenda kuhalalisha huo uchaguzi wa wizi kisha anaenda kulalamika twitter.Ndiyo maana CCM wanafanya yao
Dalali analamba asali ZanzibarWenzake wanapigania katiba mpya na tume huru ya uchaguzi yeye anaenda kuhalalisha huo uchaguzi wa wizi kisha anaenda kulalamika twitter.
Bure kabisa
Hamnaga jema nyinyi watanganyika..hakunaga zuri Ni makelele na kulalamika..Je, wapambanie Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi au Waendelee kusubiri Nusu Mkate ya kwenye Maridhiano?
Maana tumesikia Chama Kikuu cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo wakilalamika kutendewa ndivyo sivyo huko Kwao Kigoma na Ngomeni Mtwara
Kwako Mpinga Magufuli mh Erythrocyte 😂🔥
Je, wapambanie Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi au Waendelee kusubiri Nusu Mkate ya kwenye Maridhiano?

😂😂😂🔥Watamtaja tena JPM wakati hayupo teh teh tehe teh
Mtanikumbuka 😂😂🔥Tanzania hakuna uchaguzi, Bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura.
Mambo mengine ni upumbavu UDP, TLP, CUF, TADEA n.k unaenda kushiriki uchaguzi huku unajua hata kupa kura 1 ni shida unaenda kufanya nini?
Malipo yenyewe ni ya kijinga haswa, lini umemuona Lipumba au Cheyo kwenye kampeni huko?Washirika wao hao... Wanalipwa kwa kazi hiyo.
Mkuu kumtetea mtanzania ni moja ya kazi ngumu mno! Haina tofauti na kumtetea teja kuwa sio mdokozi!Chadema aren’t serious anymore.. wapo kwasababu walishakuwepo. Nothing serious.
🤣🤣🤣🔊Hamnaga jema nyinyi watanganyika..hakunaga zuri Ni makelele na kulalamika..
Aya wewe tuambie Nini kifanyike unakuta empty set (Wa TZ Mkiambiwa Nini kifanyike mna differentiate constant)
😊😊😊😊
Malipo yenyewe ni ya kijinga haswa, lini umemuona Lipumba au Cheyo kwenye kampeni huko?