Tunawashauri nini Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA baada ya CCM kushinda Viti vyote vya Udiwani jana?

Je, wapambanie Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi au Waendelee kusubiri Nusu Mkate ya kwenye Maridhiano?

Maana tumesikia Chama Kikuu cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo wakilalamika kutendewa ndivyo sivyo huko Kwao Kigoma na Ngomeni Mtwara

Kwako Mpinga Magufuli mh Erythrocyte 😂🔥
Hamnaga jema nyinyi watanganyika..hakunaga zuri Ni makelele na kulalamika..

Aya wewe tuambie Nini kifanyike unakuta empty set (Wa TZ Mkiambiwa Nini kifanyike mna differentiate constant)

😊😊😊😊
 
Je, wapambanie Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi au Waendelee kusubiri Nusu Mkate ya kwenye Maridhiano?

Maana tumesikia Chama Kikuu cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo wakilalamika kutendewa ndivyo sivyo huko Kwao Kigoma na Ngomeni Mtwara

Kwako Mpinga Magufuli mh Erythrocyte 😂🔥

Tanzania hakuna uchaguzi, Bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura.
 
Hao wote wameomba Nusu Mkate
iu

'CCM ipo salama'
 
Mimi namlaumu maalim kuipa nguvu ACT maana ndio inatumika kujustify ujinga wa CCM. Tangu 2016 wanashiriki chaguzi ndogo mpaka Leo.
 
Back
Top Bottom