FaizaFoxy
Nyani Ngabu
Dr Riwa
......Endelea
Mimi pia huwa nashangaa ni kwa nini mtu hutafuta kupigwa BAN, na nimeanza kuamini kwamba kwa wengine BAN ni alama ya ushujaa maana wakirudi humu hujisifu kwamba walikuwa "JELA" na sasa wametoka. Lakini tuwaombe Mod's wafute zile post zenye utata na kuwaonya wenye nazo kwa faragha na kama hao wanaoonywa hawasikii basi ndiyo wapigwe BAN. Na kuwekwe sehemu ambayo wana JF watakwenda kuangalia nani kapigwa BAN na post ipi imemsababisha apigwe BAN. Fair trial bwana!!nafikiri swala la msingi ni kwa nini watu wengi wanavunja sheria za JF? Tena wengine kwa makusudi mazima, tena wakijua watapigwa BAN?
Think!!
Mimi pia huwa nashangaa ni kwa nini mtu hutafuta kupigwa BAN, na nimeanza kuamini kwamba kwa wengine BAN ni alama ya ushujaa maana wakirudi humu hujisifu kwamba walikuwa "JELA" na sasa wametoka. Lakini tuwaombe Mod's wafute zile post zenye utata na kuwaonya wenye nazo kwa faragha na kama hao wanaoonywa hawasikii basi ndiyo wapigwe BAN. Na kuwekwe sehemu ambayo wana JF watakwenda kuangalia nani kapigwa BAN na post ipi imemsababisha apigwe BAN. Fair trial bwana!!
All in all hawa waliopigwa BAN tunawasaidiaje?
Nyingi za nini, kwani sijiamini?Mkuu Kigarama,
Tatizo watu wana ID nyingi ikipigwa BAN moja anakuja na ingine, tena kuna wengine wameziweka ID zao kwa ajili ya kuwajibia watu flani.
Hawajali hata kama zikipigwa BAN, Mkuu kwani wewe una ID moja kama Ritz?
hapa sitii neno
Kabla ya kufanya lolote jiulizeni hili swali je ni kwa nini hao watu wamepigwa BAN?
Kabla ya kufanya lolote jiulizeni hili swali je ni kwa nini hao watu wamepigwa BAN?
Itabidi system iwe automated kuondoa mgogoro na mods...wao wawe wanagusa mara chache kwenye ishu kubwa....km server kuzima n.k otherwise yenyewe icheck maneno...iselect topics zenye kurudia na vitu kn hivyoMamod wengine unakuta washakunywa viroba.
MAPROSOO.
mwita25, mzee wa mia Figganigga......FaizaFoxy Dr Riwa ......Endelea