asante kwa kuappreciate!!!Pamoja na matatizo yenu yote,tunawapenda sababu mu warembo na mnakonga mioyo yetu na ni furaha zetu,mnajua kutucare sana ,hata tukiwakosea mara zote mmekuwa wakwanza kutusamehe,kwa kweli nyie ni maua ambayo kama isemavyo nyumba bila mwanamke basi sio nyumba.basi mjitahidi kubehave basi lol.
bora hata weye unatupromoti cyo wengine matusi juu eti hatuwezi kunako 6 kw 6 loh!
anajifanya eti hajui leo wakati tena ye ndo wa kwanza kuwapa wenzake!!
Njoo nikupe asali ...............
Pamoja na matatizo yenu yote,tunawapenda sababu mu warembo na mnakonga mioyo yetu na ni furaha zetu,mnajua kutucare sana ,hata tukiwakosea mara zote mmekuwa wakwanza kutusamehe,kwa kweli nyie ni maua ambayo kama isemavyo nyumba bila mwanamke basi sio nyumba.basi mjitahidi kubehave basi lol.
kila binadamu ana mapungufu na maongeo yake so kama mnatupenda basi nasi tunawapenda zaid manake tunajua mwanaume ndiye anayekamilisha utimilifu wetu, pasi nyie heshima tuzipatazo zisingekuwepo, mmetukaribisha kwenye maisha yenu, mkakubali kuwa na full responsibility juu yetu, mnatulinda, mnatupenda na kutujali zaid ya yote mu viongozi wetu
Umeona leo ijumaa ndio unaanza kujikomba,mbona j3 hukusema hivo?
sawa nitakuja......
anaogopa kunyimwa dudu weee j3 mbali ujue!!!
Your welcome ........
sawa nitakuja......
unaenda tena wapi lazymate?