Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,670
BongeMwepesi unafanya vema sana kuwathamini na kuwapenda wanawake,ila one thing umesemea nafsi za wengi bora ungesema ninawapenda sana,sina shaka ushaona baadhi ya wenzio walivyoanza kukinzana na sauala la wanawake kupendwa copy Mokoyo huyu mkuu sijui kama ana maoni kama yako kuhusu wanawake charger ye huyu kashajua leo ni weekend so anaamini sifa zako zina sababu nyuma yake,(not ana offence please just chalenges)apart from hao hope umekuwa ukiona mwenyewe jinsi wanawake wanavyonangwa humu ndani,ila kwa mimi nakuunga mkono wanawake wana sehemu kubwa sana katika dunia hiiii,wanawake hoyeeeeeeeee :cheer2: :cheer2:.
Last edited by a moderator: