Masulupwete JF-Expert Member Joined Feb 15, 2012 Posts 2,366 Reaction score 2,438 Jan 7, 2014 #1 Baada ya kuondokewa na legendary Eusebio, rais wa nchi ya ureno amejitokeza hadhalani na kutangaza siku 3 za maombolezo na bendera itapepea nusu mlingoti ktk kipindi hicho. Je kwa hapa kwetu kinawezekana serikali kufanya kitu km hiki.
Baada ya kuondokewa na legendary Eusebio, rais wa nchi ya ureno amejitokeza hadhalani na kutangaza siku 3 za maombolezo na bendera itapepea nusu mlingoti ktk kipindi hicho. Je kwa hapa kwetu kinawezekana serikali kufanya kitu km hiki.