Tunavyosutwa na Prof KEN EDWARDS

Una supect kwa nini wasitake?

Serikali ya Tanzania hawataki independent unfettered minds, hususan kama hujalelewa katika zizi la kondoo na kutayarishwa nao.Hivyo wakamuona kama mtu anayeweza kuleta mbegu za independent mindedness, si kweli kwamba hawakuweza kumpatia passport, wamechukua passport wasomali wachovu bwana, si kweli kwamba hawakuweza kumlipa, basi tu, wamemfanyia roho stoki tu.
 

Unajua kama aliwahi kuomba uraia?
 
Unajua kama aliwahi kuomba uraia?


Soma quote hiyo
 
Soma quote hiyo

Kiranga, nilisoma hiyo article ya Dr Assad few days ago kwenye web ya Michuzi and for the first time in my life- I felt guilty for being Tanzanian! Ila cha kushangaza zaidi ni kwamba watu kama hao kina Assad walikuwa wanajua shuruba na manyanyaso aliyokuwa akikumbana nayo kila siku, na as far as I know huyu jamaa ni columnist kwenye moja ya magazeti yetu ya nyumbani- kwanini hakujaribu tu hata kuudokeza umma angalau machache tu kati ya yote hayo aliyoyasema kabla ya kifo cha Prof?
 


Kwani alikuwa musilamu? plz abort that sentence. Weka Bwana ametoa na bwana ametwaa, coz Mungu wetu na wao ni vitu viwili tofauti.
 
Siamini kama tumefikia hatua hii ya kufungwa kiimani kiasi hiki,jitazameni upya
Kwani alikuwa musilamu? plz abort that sentence. Weka Bwana ametoa na bwana ametwaa, coz Mungu wetu na wao ni vitu viwili tofauti.
 
Siamini kama tumefikia hatua hii ya kufungwa kiimani kiasi hiki,jitazameni upya

Kaka huo ndio ukweli usioweza kupingika, huwezi kuandika tanzia ya Mkristo halafu ukamalizia kwa kusema Inah Lilah Raajun, the same huwezi andika Tanzia ya muislamu halfu ukamalizia na bwana alitoa na bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe..Imani hizi mbili ni vitu viwili tofauti sana kaka.
 

Haiwezi kua vitu viwili wakati Mwenyezi Mungu ni mmoja.
 
Sijui watu wanapoteuliwa kwenye nyadhifa kubwa wanapewa sharti la kuondoka JF?! Game Theory kabadili ID wee, mwisho kajiondoa jumla.
 
Last edited by a moderator:
R.I.P Prof Ken ... Magamba hawastahili kuishi kwa Unyama wao ...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…