Hii thread nzima ni kwa ajiri ya mchango wa Prof. Ken Edwards.
Najua wengi wenu humu bado umri wenu ni mdogo hivyo hamkubahatika kusomeshwa na huyu SHUJAA ...Prof Edwards ndie mwanzilishi wa KITIVO CHA BIASHARA pale UD na amewasomesha watu wengi na wengine leo ni mawaziri na mabosi wa mashirika mbali mbali Tanzania
Nitakaa kimya ukiacha kupotosha......
Obama alikuwa professor wa sheria University of Chicago, Obama hana PhD. Si lazima kuwa na PhD ili uwe professor.
Kabla ya kuandika, kwanini usingetumia muda kidogo ku-google.
The Law School has received many media requests about Barack Obama, especially about his status as "Senior Lecturer." From 1992 until his election to the U.S. Senate in 2004, Barack Obama served as a professor in the Law School. He was a Lecturer from 1992 to 1996. He was a Senior Lecturer from 1996 to 2004, during which time he taught three courses per year. Senior Lecturers are considered to be members of the Law School faculty and are regarded as professors, although not full-time or tenure-track. The title of Senior Lecturer is distinct from the title of Lecturer, which signifies adjunct status. Like Obama, each of the Law School's Senior Lecturers have high-demand careers in politics or public service, which prevent full-time teaching. Several times during his 12 years as a professor in the Law School, Obama was invited to join the faculty in a full-time tenure-track position, but he declined.
Wewe ndiye unaona Google kuwa credible source siyo? Kwa taarifa yako hii taarifa inapatikana kwenye google pia, sasa unachotaka kusema ni nini?
University of Chicago wenyewe wamesema
Obama anayo Phd kutoka Havard Lawa school.
Sawa, thread ni "kwa ajiri ya mchango wa Prof. [Joshua Nkhululi]."
Joshua Nkhululi ni nani ki-background? Alipata elimu gani, wapi na lini. Huku tukijadili mchango wake, tumjue.
Lazima Game Theory anajua, yeye ana umri mkubwa kuliko wengi wetu, na hivyo kasomeshwa na huyu mwalimu, tofauti na sisi ambao hatukubahitika (logic yake yeye, si yangu).
Oh really now?
"Harvard Lawa school" ndiyo kidudu gani hicho? Nafikiri huelewi tofauti ya Masters na PhD au unamjua Obama kuliko anavyojijua mwenyewe
Muongezee basi hiyo PhD kwenye resume yake hapa chini, unajionyesha usivyojua unachoongelea.
Barack Obama's Résumé
Na kuna watoto wa maprofessor ambao wameshindwa kufikia mafanikio ya wazazi wao kitaaluma na kazi yao ni kuelezea nani ni professor na nani sie.
Kutokana na posti zako nadhani wewe utakuwa katika kundi la pili.
Kuzaliwa kwako katika mazingira ya kitaaluma, hupati advantage yoyote hile ya kitaalamu.
Obama anayo Phd kutoka Havard Lawa school.
eeeh leo mbona kazi kweli kweli
Ahaaa! Sasa unaongea kama vile unanijua. Wapi nimesema "mimi" nimezaliwa katika mazingira ya kitaaluma? Acha kutunga hadithi wee mtu....
lol, kutumia majina mengi hapa JF ni taabu sana. Yaani inabidi ubadilishe mpaka personality.
And your point is.....
Get life.
Marehemu na wenzake wengi waliokimbilia Tanzania kwa kuitikia wito wa Marcus Garvey kwa bahati mbaya tuliwaangusha. Badala ya kuwakubali kama wenzetu tuliandama kwa shutuma kuwa ni ma-c.i.a n.k! Paranoia yetu ilituharibia sana.