Karandinga
Member
- Jun 25, 2008
- 66
- 1
Najua wengi wenu humu bado umri wenu ni mdogo hivyo hamkubahatika kusomeshwa na huyu SHUJAA aliyeamua kuweka mbele UZALENDO mbele ya UBINAFSI na aliamua kuinvest JASHO na DAMU yake kwa ajili ya nchi hii tangu alipoamua kuondoka kwao Jamaica miaka ya 60..
Prof Edwards ndie mwanzilishi wa KITIVO CHA BIASHARA pale UD na amewasomesha watu wengi na wengine leo ni mawaziri na mabosi wa mashirika mbali mbali Tanzania
Hakuishia hapo aliamua kwenda kuanzisha chuo cha BIASHARA kule Arusha na leo serikali yetu ya KIFISADI inajidai ni chake na kwa kusudi walimnyima huyu mzee URAIA huku majitu kama akina Subash Patel wakipewa uraia, waliamua kumtelekeza wakati anaumwa mpaka umauti ulipo mfika
Sisi wana JAMII FORUMS tunapenda kuinyesha hii serikali ya kidhalimu kuwa in this day and age ambayo we cant find HEROES kuwa tutamuenzi na tunauomba uongozi wa UD wamuenzi halau hata kwa kukipa kitizo cha BIASHARA jina lake
Inna Lillahi Wa Inna Illahi Raj'uun
Mwenye picha tafadhalini wekeni hapa na btw huyu jamaa alioa Mwanamke wa Kitanzania enzi hizo...mazishi yameahirishwa mpaka WEEKEND ijayo...kama kuna watu wenye michango na ideas za namna ya kumuenzi huyu Shujaa tafadhalini leteni mawazo yenu mimi niko close na jamaa wanaotaka kumfanyia kitu japo Serikali bado imegoma hata kutuma salam za rambi rambi
Ligi inaanza....Posted by Game Theory: Najua wengi wenu humu bado umri wenu ni mdogo hivyo hamkubahatika kusomeshwa na huyu ...Prof Edwards ndie mwanzilishi wa KITIVO CHA BIASHARA pale UD na amewasomesha watu wengi na wengine leo ni mawaziri na mabosi wa mashirika mbali mbali Tanzania...
Kwa mtaji huo basi, nina ahakika wewe umri wako ni mkubwa na hivyo ulibahatika kusomeshwa na huyu shujaa. Utakuwa unamfahamu mwalimu wako.
Ningependa kukuuliza, Prof. Nkhululi alisoma shahada gani na gani, wapi, lini.
Ligi inaanza....
Prof Ken Edwards alias Joshua Mukhululi joined the University of Dar Es Salaam in 1976 after graduating from California State University and Stanford Graduate School of Business. He was born in Jamaica on 22nd of January in 1945. He leaves behind four daughters and two sons. - May his soul rest in eternal PEACE.
Najua wengi wenu humu bado umri wenu ni mdogo hivyo hamkubahatika kusomeshwa na huyu SHUJAA ...Prof Edwards ndie mwanzilishi wa KITIVO CHA BIASHARA pale UD na amewasomesha watu wengi na wengine leo ni mawaziri na mabosi wa mashirika mbali mbali Tanzania
Kuna kingine unatafuta.....elimu rasmi ipi unaoitaka zaidi ya hii uliyopewaJoka Kuu,
Ahsante, lakini ningependa kujua elimu yote rasmi ambayo marehemu mwalimu Nkhululi aliipata.
Lazima Game Theory anajua, yeye ni mkubwa kuliko wengi wetu humu, na hivyo kasomeshwa nae tofauti na sisi ambao hatukubahitika (logic aliyoitumia yeye, si yangu).
Prof Ken Edwards alias Joshua Mukhululi joined the University of Dar Es Salaam in 1976 after graduating from California State University and Stanford Graduate School of Business.
Kuna kingine unatafuta.....elimu rasmi ipi unaoitaka zaidi ya hii uliyopewa
Joka Kuu,
Ahsante, lakini ningependa kujua elimu yote rasmi ambayo marehemu mwalimu Nkhululi aliipata.
Lazima Game Theory anajua, yeye ni mkubwa kuliko wengi wetu humu, na hivyo kasomeshwa nae tofauti na sisi ambao hatukubahitika (logic aliyoitumia yeye, si yangu).
Joka Kuu,
Ahsante, lakini ningependa kujua elimu yote rasmi ambayo marehemu mwalimu Nkhululi aliipata.
Lazima Game Theory anajua, yeye ni mkubwa kuliko wengi wetu humu, na hivyo kasomeshwa nae tofauti na sisi ambao hatukubahitika (logic aliyoitumia yeye, si yangu).
Basi unganisha dots. Mtu hawezi kuwa Prof. mpaka awe na Phd. Na kama hakuwa na Phd. basi Masters alikuwa nayo.Kwa miaka ya nyuma Masters was all he needed.
Basi unganisha dots. Mtu hawezi kuwa Prof. mpaka awe na Phd. Na kama hakuwa na Phd. basi Masters alikuwa nayo.
Kwa miaka ya nyuma Masters was all he needed.
Najua wengi wenu humu bado umri wenu ni mdogo hivyo hamkubahatika kusomeshwa na huyu SHUJAA ...Prof Edwards ndie mwanzilishi wa KITIVO CHA BIASHARA pale UD na amewasomesha watu wengi na wengine leo ni mawaziri na mabosi wa mashirika mbali mbali Tanzania
Hmmmmm....aisee inabidi uangalie tena unachosema hapo....kuna watu wamezaliwa, kulelewa, na kukulia kwenye academia hapa.....unachosema si sahihi hususan kwa enzi hizo...enzi hizi sijui.
"Masters was all he needed" au unasema lazima alipata PhD?
Unajikanyaga! Tunyooshe kauli jamani.
Professor, katika nchi aliyotekea marehemu Nkhululi akija Tanzania, Marekani, Professor maana yake mwalimu wa chuo! Alipojiita professor kwa mantiki ya alikotoka maana yake anafundisha Chuo Kikuu, UDSM. Kama chuo kinataka ma professor wao lazima wawe na Ph.D hicho ni kitu tofauti, lakini professor ni mwalimu tu! Na hata wewe umesema UDSM walikuwa kipindi hicho wanataka Masters tu, ili uwe professor hapo!
Sasa ningependa kujua mwalimu Nkhululi alipata elimu gani rasmi, wapi na lini.
Lazima Game Theory anajua, yeye ni mkubwa kuliko wengi wetu humu, na hivyo kasomeshwa nae tofauti na sisi ambao hatukubahitika (logic aliyoitumia yeye, si yangu).
Na vilevile kumbuka kuwa kuna watu ni academics hapa. Ukanganisha dots tu nothing more.
Haijalishi kama kuna ma academics hapa ua la! Ulichosema si sahihi. Kwa kukusaidia tu, nenda katafute Prospectus za miaka ya nyuma halafu soma credentials (ikiwa pamoja na titles zao) zao kule nyuma...
Hii thread nzima ni kwa ajiri ya mchango wa Prof. Ken Edwards. Kama huna cha kusema kaa kimya.