Bata kama Bata pamoja na uhodari wake wa kupigana na kunguru/ nyoka na viumbe wengine, anatajwa kuwa ndiye kiumbe anayelea watoto kwa mtindo wa aina yake.
Kawaida Mzazi ndiye humuongoza mtoto lakini kwa bata nikinyume chake. Malezi ya bata ni ya kipuuzi sana ambapo Watoto ndiyo humuongoza mzazi kutafuta chakula.
Mbaya zaidi mzazi anaweza hata kumkanyaga mtoto pasipo kujali bata maumivu ya mtoto.
Hata watoto wa bata wafe ote bata huwa hajali wala kushitushwa.
Faida yake tu ni kwamba matoto ya bata hupatwa na usugu wa kujitaftia.
Hivi ndivyo tunaishi sasa! Tuliyemtegemea awe comfort in chief ndo hivyo tena katuacha tupambane kama watoto wa bata.
Kuanzia leo usiache kumwambia jirani yako Pambana kama mtoto wa Bata.
Tushatelekezwa! Kama hujui ndo nakujuza Leo!
..mradi wa maji umesombwa na mafuriko..
Komaa mtoto wa bata