Tunavyoendelea kushindwa vita ya ujangili

mutanim

JF-Expert Member
Apr 13, 2010
203
77
Kwa mara nyingine leo majangili wamefanikiwa kutimiiza malengo yao kwa kutungua helicopter ya doria kule mkoani Geita. Pamoja na maandalizo yote wanayotuonyesha wahifadhi wetu matumaini ya kutimiza malengo ya kulinda rasilimali hizi za asili kwa vizazi vya sasa na vijavyo yanazidi kudidimia.

Kwa mchango wa upesi, ikizingatiwa kwamba hili limeongelewa sana humu, najiuliza kwamba, kwaninni majeshi yetu ya ulinzi ama jeshi la kujenga taifa na wanaintelijensia wasingeungana kutokomeza mitandao sugu ya majangili?
 
Back
Top Bottom