- Thread starter
- #41
Mil 8 ndo bei rahisi au mm ndo sjui bei rahis?
Ivo co viwanja holela,
Unapata kiwanja chenye hati yako bila migogoro,
Karibu sana
0688753191
Mil 8 ndo bei rahisi au mm ndo sjui bei rahis?
I see !
Mhhhh!I see !
Mhhhh!
Na MTU akiwa na heka zake tano akihitaji kuwauzia nyie kampuni,mugawe sasa viwanja muuze mpo teari !!
Mkopo hakuna
Aisee parefu sana kwa miezi kumi kila mwezi ulipe laki nane sio?
Labda uondoe neno bei nafuu! 20,000/- per sqm sio bei nafuu. Anyway nitawatafuta hio 12km from Ferry na vimepimwa imenivutia.
Asante ,ntakutafuta Pm.Inategemea ni location gani, na anauza bei gani ndugu