Ndiyo, vitabu vyetu vinapatikana: Dar es Salaam katika duka la TPH Bookshop,Arusha katika duka la KASE stores Ltd.
Pamoja na maelezo hayo unaweza kupata vitabu vyetu kwa kupitia namba za simu zifuatazo +255 685 997 583/+255 0758147871,+255 784 690277/+255 768023019.