Tunauza vifaranga wa kuku chotara

Tunauza vifaranga wa kuku chotara

alphonce.NET

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,721
Reaction score
6,074
IMG-20260219-WA0002.jpg
Tunauza vifaranga wa kuku chotara aina ya sasso na kloila. Wanakua haraka, wavumilivu dhidi ya magojwa, wanafaa kwa nyama na mayai

Wanapatikana kila Jumatatu, bei Sh 1,800 Umri siku 2

Tupo Lugela - Kahama. Tunasafirisha kwenda maeneo yote kanda ya ziwa

Simu: 0767659145, 0787659145
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom