Tunauza samaki wa Mwanza

Tunauza samaki wa Mwanza

Emmathias

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2018
Posts
681
Reaction score
969
Habarini wanajukwaa!

Naomba niende moja kwa moja kwenye maada yangu, Kama tunavyohimizwa na viongozi wetu pamoja na wazee wetu kuhusu graduates kujiajiri, hivyo tumeamua kujiunga vijana watatu na kuanza kufanya biashara ya samaki aina ya SATO na SANGARA (samaki fresh na waliokaangwa pia).

Hivyo tunakuomba wewe kama mdau wa maendeleo uweze kutuungisha biashara yetu hii, samaki wetu wanafaa kwa matumizi ya maofisini, hotelini, na majumbani pia, lakini pia tutafurahi kama tutapata oda ya kusupply kwenye supermarkets, kwa nafuu sana!!

Tunapatikana Arusha na Moshi pia, hivyo tunakukaribisha sana ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie wauza samaki wekeni basi na contacts zenu, halafu chezeni na bei sana , uzeni bei ya kawaida mkilinganisha na wenzenu ,maana ndio njia pekee ya kuhamisha watea kua kwenu. Msiangalie profit/margin kwa kilo ,lakin focus kwenye quantity mnayoweza kuuza kwa muda gani
 
Ni jambo zuri nawapongezeni saana Ingieni msambaze mtaani kwa wateja na pia katika masoko makuu ya moshi na Arusha samaki moshi zina soko ukitembeza hata Arusha pia kama mtahitaji vijana wa kuwasambazia bhasi msisite kunipigia 0744883353

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana kwa ushauri mkuu!!,
Bei zetu ni nafuu sana mkuu.
Karibu utuungishe mkuu

Back
Top Bottom