Tunauza Samaki aina zote

Tunauza Samaki aina zote

kwayeyote anayetaka kufanya Biashara ya samaki tunamkaribisha sana tunatuma sehemu yoyote ile. Hawa ni kutoka ziwa Victoria mwanza.
89ef16f4133b1324ca06afcfde0ed357.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Me nataka hyo biashara ya samaki njoo chema tunene

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawakaribisha kwenye biashara ya samaki tunatuma popote pale kuanzia kg 100. Kwa samaki Aina zote sangara, Sato ama ukitaka fileti. Kwa wale wenye mabucha ya samaki mnakaribishwa
Kwa watu walio serious tu karibu kwa maelezo zaidi. pia
434b12be4552640d925d685e1c62d44f.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nataka wale wa mpira
 
Sasa mbona huja elezea ofisi (maduka) yalipo? Yani mfano Mtu anataka kuja kununua mwenyewe aje wapi? Physical address pls! Kambale wabichi
 
mimi naitaji vifaranga wa prawns na hao tilapia.... una uzaje...?
 
Sasa mbona huja elezea ofisi (maduka) yalipo? Yani mfano Mtu anataka kuja kununua mwenyewe aje wapi? Physical address pls! Kambale wabichi
Samaki hawa wanapatikana kiwandani karibu na ofisi za radio free Africa, kiwandan sio kwamba kila mtu anaruhusiwa kuingia unless uwe unafanya biashara humo ndio maana ukitaka kufika lazima unitafte au utafte mtu mwingine anayehusika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samaki hawa wanapatikana kiwandani karibu na ofisi za radio free Africa, kiwandan sio kwamba kila mtu anaruhusiwa kuingia unless uwe unafanya biashara humo ndio maana ukitaka kufika lazima unitafte au utafte mtu mwingine anayehusika

Sent using Jamii Forums mobile app
Njaa itakuua dogo, au unapima tu upepo maana hii biashara ya samaki hasa wa kutoka Mwanza huifahamu! Hicho kiwanda unachowadanganyia watu kazi yake ni kuprocess samaki (fillet) kwa ajili ya soko la ulaya nk.
 
Hata Mimi nimemstukia aisee?! Naona anajaribu kutaka kutubabaisha!
 
Jogoo wa shamba tangu lini akawika mjini?! Ulikolalia wenzio ndiyo tulikoamkia!
 
Njaa itakuua dogo, au unapima tu upepo maana hii biashara ya samaki hasa wa kutoka Mwanza huifahamu! Hicho kiwanda unachowadanganyia watu kazi yake ni kuprocess samaki (fillet) kwa ajili ya soko la ulaya nk.
We ndio hufahamu hyo biashara inafanyikaje kama hujui kitu bora usiongee utaonekana mjinga tu. Samaki wa fileti ni tofauti na hawa samaki kwa akili yako ndogo unadhani watu tu nasupply vipi samaki kwenye mabucha? Tafuta maelezo 'na sio kuchafua biashara ya mtu. Samaki wakishafika kiwandan wale wakubwa wanachukuliwa kwa ajili ya fileti wanaobaki size kama niliyoonyesha huchukuliwa kwa matumizi mengine. B4 hujachafua biashara ya mtu fanya utafti Kwanza ama unadhan viwanda vya kufroze samaki wanapata wapi samaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu ndani Kuna watu maisha yalishawashinda kazi Yao ni kuharibu tu 'na ya wengine. Wapo tu kukatisha tamaa, limtu linakuja kujifanya linajua mambo kumbe halijui chochote. Eti viwandani ni sehemu wanasindika fileti tu, hivi unadhan samaki tunaotuma mabuchani tunawatoa wapi? Kuna samaki wa fileti na kunasamaki wasiofaa kwa fileti ndio size nimewaonyesha hapo hizo picha nimetuma ndio biashara yangu mtu akitaka kufika kiwanda ninachofroze hawa samaki anakaribishwa kufika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawakaribisha kwenye biashara ya samaki tunatuma popote pale kuanzia kg 100. Kwa samaki Aina zote sangara, Sato ama ukitaka fileti. Kwa wale wenye mabucha ya samaki mnakaribishwa
Kwa watu walio serious tu karibu kwa maelezo zaidi. pia
434b12be4552640d925d685e1c62d44f.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Madegele

Sent from my TV
 
Back
Top Bottom