Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

NYUMBA INAUZWA BUNJU USALAMA.

Nyumba inauzwa ina vyumba 3 kimoja self
Stingroom nk
Nyumba ina mpangaji analipa kodi 400,000 kwa mwezi

Size plot 600 SQM
Bei Tsh 67m
Maongezi zaidi 0756060183

 
Ukubwa wa kiwanja, je kimepimwa, gari inafikika, maji na umeme vipo? Makaratasi halali yapo?
 
Madalali changamoto sana, anajipangia bei tu bila ya kutafakari kwanza.
 
nyumba nzurli sana ya kisasa INAPANGISHWA ipo bahari beach nyumba inavyumba v3 sbule jiko chumba kimoja self linajitegemea bei Tsh 450,000/= kodi ya miezi 6
Maongezi zaidi 0756060183
 
Madalali changamoto sana, anajipangia bei tu bila ya kutafakari kwanza.

Na ndo shida ya madalali.

Lukuvi akiwa ardhi alikuja na muelekeo mzuri, alisema sekta ya real estate iwekewe takwa la kisheria la elimu. Na akawashangaa wanasheria waliowaachia madalali kazi za kitaalam kama real estate transactions wakati wao wanatembea na mihuri ya kugonga kwa elfu tano tano.

Na migogoro nayo labda ingeisha kama miamala ya ardhi ingekuwa inafanywa kisomi zaidi na kitaalam zaidi.
 
NYUMBA INAPANGISHWA

MAHALI BUNJU A /MIANZINI

NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE

NYUMBA YENYE. VYUMBA. VITATU VYAKULALA

kimoja master
Public toilet
Kitchen
Stingroom
Dainingroom
Makabati
Maji
Umeme
Fence
Geti

BEI_LAKI 350/=KWAMWEZI

MFUMO WA MALIPO MIEZI (6)

MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU

0756060183

 
Post in thread 'House4Sale - Nyumba inauzwa Mbweni njia ya Usalama' by Kahtan Ahmed has been reported by dovillenproperty. Reason given:

Content being reported:
 
Madalali changamoto sana, anajipangia bei tu bila ya kutafakari kwanza.
Mkuu bei hatupangi sisi acha kutuchongea. Bei anapanga muuzaji sisi malipo yetu ni commission tena yenyewe ni ya kujadiriana. Karibu ni kuonyeshe nyumba kama hii bei yake ni kubwa ninazo nyingine mpaka 16m na kueandelea..hapa mjini kila mtu anaishi kulingana na uwezo wake
 
mkuu punguza hasira sasa sisi unataka tukale wapi? Acha wengine watembee na mihuri na wengine tusababibishe mihuri ifanye kazi
 
ENEO LINAUZWA BUNJU A

Eneo lina ukubwa wa 5,500 sqm
Na kutoka Bagamoyo Road hadi kwenye eneo ni 1km
Eneo limepimwa na lina hati.
Panafaa Kanisa,Msikiti,Apartments,Hotel, Yard, family house nk
Bei Tsh 280m
Maongezi yapo.
Mawasiliano 0756060183

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…