dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,189
- 2,219
Inabidi watu wafundishwe masuala ya Valuation kujua thaman ya kitu ulichonacho kuepuka kuibuk na kutaja taja mabei ya ajabu
Sent using Jamii Forums mobile app
hilo eneo halina jina?Mkuu swala sio kujenga nyumba la hasha,Bali gharama ya kiwanja kwa maeneo hayo ni kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
hilo eneo halina jina?
Ukifanikiwa kuuza njoo nitakupa 10milion kama zawadi ya kumpiga huyo boya.
Ninayo ww fanya kuuza
Bagamoyo gani Chief?!Yeah kweli kabisa maana bagamoyo hapo Nina shamba nauza heka moja 250,000 unaweza kununua heka 10 kwa 2,500,000 ukitoa kwenye 85 unabaki 82.5m hapo kweli unanunua shamba na unajenga nyumba kubwa na chench inabaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eneo linaitwa Kisasa au ni nyumba ya kusasa?
Umesema kweli hapo mpaka nyumba iliposimama kujenga inacheza kwenye 10-18 ukisimamia manunuzi ya vifaa na mahitaji yote kwa umakini kabisa, ila watu kutokujua masuala ya Valuation kama ulivyosema wanapigwa bei kubwa na Madalali.Inabidi watu wafundishwe masuala ya Valuation kujua thaman ya kitu ulichonacho kuepuka kuibuk na kutaja taja mabei ya ajabu
Sent using Jamii Forums mobile app