Tunauza mbolea za Yara

Tunauza mbolea za Yara

Kalimati

Senior Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
149
Reaction score
46
c53b973d780ea4ab1243157682584716.jpg
224618f0ce19baee3e2fded23593150a.jpg
7875bef54e6cea81cb9312da5e5ac30d.jpg


Ubora wa mbolea za yara upo kwenye virutubisho vilivyomo. Mbolea hizi zipo katika mfumo wa punje punje ambapo kila punje ina virutubisho zaidi ya 6 ukilinganisha na mbolea zingine. Virutubisho hivi vinatofautiana kulingana na mahitaji ya zao.

Mfano YaraMila CEREAL mbolea ya nafaka

ina NPK 23:10:5 + MgO + S + Zn.

YaraMila OTESHA ni mbolea ya kuoteshea kama jina lake.

Ina NPK 12-24-12 + 5S +2MgO + 0.2Fe + 0.007Zn

YaraVita CERAL BOOST ni mbolea ya majani yenye virutubisho vidogo, vya kati na vikubwa kwa ajili ya kuuongezea mmea afya wakati wa ukuaji

Ina virutubisho kama boron, calcium,copper, iron, magnesium, manganese,molybdenum, sulphur, zinc, nitrogen, phosphate na potash

Kwa kuchanganya mbolea Zenye N au P au K peke yake, uhakika wa uwiano wa virutubisho linganifu huwa ni mdogo

Hizo ni baadhi tu ya mbolea

Kuna mbolea kwa ajili ya mboga mboga, nafaka, majani n.k

Tunapatikana Tegeta Kibo Complex karibu na msikiti wa Taqwa - 0683556677 kwa mikoani pia tunatoa huduma hii ya kilimo
 
mtoa mada zichambue vizuri hizio mbolea ulizopost.
ukijikita kwenye virutubisho vilivyomo ktk kila mbolea, asilimia na bei.
ili tujue zinautofauti gani na urea CAN DAP NPK MAP
ukifanya hivyo watu watajaa dukani kwenu
 
Ungejikita kwenye kufafanua hizo mbolea,matumizi yake,faida zake ukilinganisha na mbolea zingine na gharama zake ili sis wakulima tunapokuagiza tujue tunakuagiza mbolea ya aina gani...ht kariakoo watu tunanunua mbolea kwenye maduka wanayotupa ushauri na miongozo ktk kilimo chetu...na mwisho jitahidi kuweka service ya delivering itakuongezea soko
 
Pia angeeleza kama hiyo mbolea inauzwa Kwa kilo kwani sio wote wana mahitaji ya kilo 25 au 50

Kwa kilo pia tunauza bila shaka, lengo letu sio kumuumiza mkulima Bali kumsaidia stoke kwa kupitia kilimo. maelezo mengine unakaribishwa kuwasiliana nasi kwenye namba tajwa
 
Mm ni mtumiaji mzur wa mbolea kwa sababu ni mkulimaa mzur lakn mbona sioni Bei
 
Hawa watu biashara yao siielewi, uwe na mbolea nzuri hivyo then uogope kuweka bei kwa nini?
 
Back
Top Bottom